Usilolijua: sijui tumuulize nani

Usilolijua: sijui tumuulize nani

wakati umefika wadanganyika tukatae kudaganywa na hawa tunaowita viongozi ambao kimsing wanaongozwa na WAZUNGU.....ili mradi mzungu ametaka kitu kwa vwanaoitwa viongozi hawana la kusema ni kukubali tu.
kinachoitwa uwekezajini kiini macho kwa sababu matunda ya uwekezaji kwa maendeleo ya taifa yanatokana na mafanikio ya mradi/faida,kwa uzoefu faida zinazopatikana kwenye miradi iliyowekezwa hazitumiki kwenye uwekezaji mwingine bali hurudishwa nyumbani kwa wawekezaji uchwara wetu...hivyo uwekezaji wao kwetu si endelevu kwa hiyo hauna faida ni bora tuwaache wabalbaig waendelee kuchunga.kama uwekezaji ungekuwa endelevu tangu miradi mingi iliyoweka ingetakiwa mali ya taifa ikue kiasi cha kutisha lakini wapi..... angalieni wawekezaji kwenye madini au kwenye viwanda kama faida waliyochuma ingewekezwa kwenye miradi mingine kama ya kilimo nk.tanzania ingekuwa imehama mstari wa masikini wa kutupwa muda mrefu sana......wakati ni huu tupande milimani na kuwaambia makuwadi wa wazungu enough is enough
 
Tatizo Liko Wapi Hapa ? Watu Hawajui Haki Zao Sasa Unataka Nini ?

Unafikiri ni nani anafaidika kwa "watu kutojua haki zao"? Ni wale walio madarakani, ni wawekezaji, au ni wananchi wenyewe?
 
Back
Top Bottom