YUSUPH P KASHINJE
New Member
- Jun 27, 2024
- 1
- 0
Kutokana na kupanda kwa bei na nauli za mabasi. Matumizi na usimamizi mubovu wa government project. Mafuta yanauzwa kwa kulanguliwa (lejaleja) na viongozi wanajuwa na wanaona from shina mpaka serikari kuu. Kama ni miladi inaazishwa kwa lengo wa wenye hakili wajiongeze tuabiane tuđź‘‹đź‘‹đź‘‹