Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Tunasubiri uanze tuelimike. Hili ni nalo kwangu ni issue natumaini utanifahamisha bila chuki na kejeli na wale wenzetu walioamua kuhakikisha jf haitoi elimu ya maana hawatakuja huku
Tunasubiri uanze tuelimike. Hili ni nalo kwangu ni issue natumaini utanifahamisha bila chuki na kejeli na wale wenzetu walioamua kuhakikisha jf haitoi elimu ya maana hawatakuja huku
Haika haki za binadamu ziko nyingi kwenye Katiba Inayopendekezwa. Ukisoma sura 5 kuanzia ibara ya 32 na kuendelea utapata mengi kuhusu haki za binadamu. Katiba bila kutambua haki za binadamu ingekuwa si katiba bali kijarida cha watoto kufungia maandazi. Hebu pitia utakachokikuta watumie wengine ili watoe tongotongo usoni.Tunasubiri uanze tuelimike. Hili ni nalo kwangu ni issue natumaini utanifahamisha bila chuki na kejeli na wale wenzetu walioamua kuhakikisha jf haitoi elimu ya maana hawatakuja huku