Usimamizi wa haki za binadamu

Usimamizi wa haki za binadamu

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
2,795
Reaction score
9
Je wajua kuwa Katiba Inayopendekezwa imeeleza na kujibu masuala mbalimbali ya Usimamizi wa haki za binadamu ambazo watu wengi wanasema hazijaainishwa? Wanajukwaa tushirikiane kuwajuza Watanzania na wasomaji wa JF pamoja na kusoma Katiba hiyo watumie jukwaa hili kupata elimu hiyo kwa manufaa ya nchi yetu.
 
Tunasubiri uanze tuelimike. Hili ni nalo kwangu ni issue natumaini utanifahamisha bila chuki na kejeli na wale wenzetu walioamua kuhakikisha jf haitoi elimu ya maana hawatakuja huku
 
Tunasubiri uanze tuelimike. Hili ni nalo kwangu ni issue natumaini utanifahamisha bila chuki na kejeli na wale wenzetu walioamua kuhakikisha jf haitoi elimu ya maana hawatakuja huku

Dada Haika mambo!I hope uko pouwaa, Mwanamke Nimeupenda mchango wako pamoja na kwamba wewe ni muoga sana kama unachangia mambo ya kweli kwa msimamo wako kwa nini uogope kuambiwa? JF sio shamba la bibi kikubwa ni hoja tu ukileta uongo na wewe watakurukia tu maana ukweli kwanza uongo haukubaliki humu!
 
Tunasubiri uanze tuelimike. Hili ni nalo kwangu ni issue natumaini utanifahamisha bila chuki na kejeli na wale wenzetu walioamua kuhakikisha jf haitoi elimu ya maana hawatakuja huku

Ndg yangu Haika, asante sana kwa kuwa na shauku nya kupata elimu hiyo maana huu ndiyo muda muafaka. Ondoa shaka tutashirikishana ili mwisho wa siku tuwe kitu kimoja katika kuijenga nchi yetu MAMA Tanzania.

Ndiyo maana tunaimba "Tanzania Tanzania Nakupenda kwa moyo wote Nchi yangu Tanzania Jina lako ni tamu sana, Nilalapo nakuota wewe Niamkapo ni heri mama wee Tanzania Tanzania Nakupenda kwa moyo wote"

Tupo pamoja Haika, Mungu abariki mjadala huu uwe wa kuijenga Tanzania ambayo sasa ipo kwenye mchakato wa kupata Katiba Mpya kupitia Katiba Inayopendekezwa.
 
Tunasubiri uanze tuelimike. Hili ni nalo kwangu ni issue natumaini utanifahamisha bila chuki na kejeli na wale wenzetu walioamua kuhakikisha jf haitoi elimu ya maana hawatakuja huku
Haika haki za binadamu ziko nyingi kwenye Katiba Inayopendekezwa. Ukisoma sura 5 kuanzia ibara ya 32 na kuendelea utapata mengi kuhusu haki za binadamu. Katiba bila kutambua haki za binadamu ingekuwa si katiba bali kijarida cha watoto kufungia maandazi. Hebu pitia utakachokikuta watumie wengine ili watoe tongotongo usoni.
 
Back
Top Bottom