Tunaagalia na sura pia mkuu๐น๐น?!Kutoa ushirikiano hawataki ila kuhudumiwa wanataka, huo ujinga siwezi kufanya.
Huna interest na mimi usiwe interested pia na visenti vyangu, kwanza kwa visenti gani nilivyonavyo ๐
Sura na pesa wewe unachagua nini?Tunaagalia na sura pia mkuu๐น๐น?!
Nachagua sura na pesa ๐นSura na pesa wewe unachagua nini?
Nmekustahi na tusi maana ujajibu swaliNachagua sura na pesa ๐น
Ila hakuna mwenye pesa sura mbayaNmekustahi na tusi maana ujajibu swali
๐๐๐๐Nitambembeleza na kumhudumia , ili mradi ninajua atanipa kitu gani kitafanya nifurahi, usinipangie meku.
๐Kutoa ushirikiano hawataki ila kuhudumiwa wanataka, huo ujinga siwezi kufanya.
Huna interest na mimi usiwe interested pia na visenti vyangu, kwanza kwa visenti gani nilivyonavyo ๐
Bro acha uoga si uwa ambie tu kuwa wewe ni haji mnr ๐ ๐Sura na pesa wewe unachagua nini?
madam wana sema taka unapo onyeshwa hata mwanga, ila pale kwenye roho ngumu Kama muuaji wa ki Japan kimbia.Usichoke kubembeleza, mbele anaweza kulegeza kamba..
Umetupiga. Ukiona dem anaangali sura ujue kiwango cha pesa yako pekee kimeshindwa kumshawishi, hivyo anaangalia sababu nyingine kama kifungashioTunaagalia na sura pia mkuu๐น๐น?!
Mzee mbona unapigo za kike Sana unaboa ๐Nitambembeleza na kumhudumia , ili mradi ninajua atanipa kitu gani kitafanya nifurahi, usinipangie meku.
Umemaliza, wanawake ni waaminifu kwa hisia zao, sio kwa kujitoa kwa mwanaume, hakikisha ana hisia na wewe ndo uwekeze kwake, otherwise unatumika.Habari za mfungo wa ramadhani na kwaresma.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wasaa kwa kijana wa kiume kamwe usimbembeleze mwanamke anayekukataa. wanawake wengi wanakataa wanaume kuonyesha wao ni wa muhimu na si kitu kingine. kwanza fikiria huyo mwanamke akikubalia kitu gani unagain zaidi ya penzi Pili jiulize wewe unakataliwa je anawakatalia wote. Naeleza kisa hiki wiki hii tulikuwa tuna safari ya kikazi morogoro na rafiki yangu yeye kasoma SUA, kipindi anasoma SUA alikuwa na mahusiano na dada fulani wa kitaa, wiki iliyopita mwanzoni huyu dada alifiwa hivyo jamaa alimjulisha yule dada kuwa kaja moro atakuja kumpa pole ya msiba.
Siku ile jioni wakaja na mwenzake hotelini tulipofikia kupiga piga stori yule mwenzake alikuwa kaongozana na binti mzuri sana. nikamuomba jamaa yangu aongee na mwenzake anifanyie mpango kwa huyo dogo. Basi akamchekecha yule dogo (ndugu yake naye kaja msibani) akakubali tuonane kesho yake hasa usiku yule dogo kaenda kuoga nikawa napekua simu yake kusoma chatt za mwisho zinaingia kuna dogo mwenzie anabembeleza kishenzi , anahonga ila wapi lakini mdau nimekuja siku moja tu nimepewa hapo imenitoka 50 tu labda na msosi inafika 80 lakini huyo kijana anabembeleza sijui atakuja kupewa lini nimegundua wanawake wakatili sana, mwanamke ambaye hakupi penzi usimhudumie wala kumuonea huruma ukiwa mwema unaonekana mjinga. Mwanaume mwenzangu anahudumia ila kwa chatt zile hakuna anachoambulia.
Nawasilisha.