Usimbembeleze mwanamke anayekukataa, Wala usimuhudumie

Inawezekana hiyo ni chat pekee aliyoamua kuiruhusu uione ili ufahamu kuwa yeye siyo kicheche.
 
Wanaume tumeumbiwa huruma sana.. vitu vingi tunafanya kwa nia ya kuwasaidia tu msife njaa huku mjini. Cha ajabu nyie tena ndio wa kutuwekea nyodo
Wee em sema kweli? Unachekesha hatariii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…