Usimbembeleze mwanamke anayekukataa, Wala usimuhudumie

Sikuingi mkono mkuu. Unachokilalamikia ndio kinachotupa hasira na kutu push tupambanie ndoto zetu, nasi siku moja tule mema ya nchi
Hapo maana yake ni kwamba, nyie mnapambania ndoto zenu ili mje mhonge ghali kuliko waliopo sasa! Sasa hapo ndio mnaharibu zaidi maana bei inazidi kwenda juu na mwanamke ndio anazidi kunufaika na kuongeza maringo😀😀

Ilitakiwa wote tukubaliane kuwa na bei elekezi ili wote tufaidi sio nyie wenye hela mfaidi peke yenu.
 
😂😂😂 haipo huvyo mkuu. Tunapambania ndoto zetu ili kupandisha hadhi zetu tu sio kuwahonga. Ukiwa na hadhi unawala kwa vitu vidogo sana. Mondi kala manzi na kodi kagoma kulipa, imeipiga kwa vitu vidogo akibebwa na hadhi yake
 
Uko sahihi mkuu. Kadri uchumi unavyoimarika ndivyo unavyoweza kuzichakata bila kuhonga maana zinakuja zenyewe
 
Mbuzi haziishi mzee we fikiri hadi yule kikongwe wema sepetu wahuni wanahongo🤣🤣
 
Njoo ujiunge na UWABATA mkuu; buku tu tunaitoa kwa mbinde!!!
 
Mtakaa na tuhela twenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…