Usimbembeleze mwanamke anayekukataa, Wala usimuhudumie

😹😹😹 Acha kuwafundisha wenzio tabia mbaya mkuu..!!
 
Ifike mahali wanaume wote tukubaliane kwamba kiwango cha juu kabisa cha kuhonga kisizidi 30,000 hata iweje, uone kama kuna mwanamke ataendela kupandisha mabega 🀨
Hata hapa JF elfu 30 ndicho kiwango kilichopendekezwa na kupitishwa na wadau wa uzi wa Selfika kipindi kile uzi umewaka moto. Ubaya watu wengine huwa hawahudhurii vikao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

 
Toto
lina miguu ugonjwa wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…