Mshale unasoma divai full tank ๐น๐นMno yani kwani kuna ujinga nimefanya .. ?coz sioni mbele arifu๐
Kuna mwenzie mmoja alikuta dem kavaa shanga, akamuuliza โAiseee!! Hizi rozali zote umeiba parokia gani?โ ๐น๐น๐น๐ alifinyiwa
Raha sana kusumbua sumbua li mtu, hamjui tu.. ๐Tatzo lenu mkibembelezwa ndio kichwa inavimba inakuwa kubwa na kiburi kinaongezeka.
Nakodoa macho kwa PC nasema tu sisi ni wana๐๐Mshale unasoma divai full tank ๐น๐น
Possibly lkn pia hapana, wakati mwingine Ke anapenda kuona unaisumbukia.. apimishe anakubalika kwa kiasi gani, au ulitongoza kimasihara tu..Akilegeza sana anampiga friend zone, mwanamke akikufrendzone ni kama vile ameingia kingi kwenye mchezo wa draft.
Kila kete unayosukuma inaliwa kirahisi tu.
Mimi Kama raisi wa Chama Cha wanaume bahili, nakupa onyo kuwa kiwango Cha kuhonga mwisho ni elfu 10.Niliwahi kulalamika humu kwamba hii mijitu yenye hela ndio inatuharibia wanawake.
Wanawake wengi wanapata viburi na kupandisha sana bei maana kuna mifala inahonga kama haina akili nzuri! Matokeo yake sisi wengine tunaonekana kama mambuzi tuu.
Ifike mahali wanaume wote tukubaliane kwamba kiwango cha juu kabisa cha kuhonga kisizidi 30,000 hata iweje, uone kama kuna mwanamke ataendela kupandisha mabega ๐คจ
Depal mbona kibaka kama mimi haunisumbui kabisa jamani?Raha sana kusumbua sumbua li mtu, hamjui tu.. ๐
kuna mtu ali onyesha interest kwangu, nami nika onyesha we are cool.Unabembeleza kwa sababu zipi, upewe kipapa au unataka mfanye maisha?
Vyote vina athari, mtu hayupo tayari kufanya na wewe maisha, usimbembeleze, atakusumbua sana baadae.
Unataka kula na kunawa, bembeleza kiasi, ukiona anakubana kula kona, when doing that, hakikisha wallet yako imefungwa zipu.
Jamani, hiyo mbona haitoshi vzuri chips na kidari na ka pepsi big for 2 days ๐Mimi Kama raisi wa Chama Cha wanaume bahili, nakupa onyo kuwa kiwango Cha kuhonga mwisho ni elfu 10.
๐๐Bro unapima kina cha maji kwa kutumbukiza mguu?Depal mbona kibaka kama mimi haunisumbui kabisa jamani?
katibu wa ma jobless pro max, naona una jifanya kipofu๐๐Depal mbona kibaka kama mimi haunisumbui kabisa jamani?
Bro hii comment naisoma huku nakunywa redbull๐๐.Unabembeleza kwa sababu zipi, upewe kipapa au unataka mfanye maisha?
Vyote vina athari, mtu hayupo tayari kufanya na wewe maisha, usimbembeleze, atakusumbua sana baadae.
Unataka kula na kunawa, bembeleza kiasi, ukiona anakubana kula kona, when doing that, hakikisha wallet yako imefungwa zipu.
Sio kweli binafsi ,sipimi kina ila najaribu kusaka ambae ni kichaa kama mimi tuishi wote๐๐Bro unapima kina cha maji kwa kutumbukiza mguu?
Usiogope kukataliwa.. we tupia tu, anaweza kuanza kutamani komwe lako tu, kisha as time goes anakupenda na wewe mzima mzima.madam wana sema taka unapo onyeshwa hata mwanga, ila pale kwenye roho ngumu Kama muuaji wa ki Japan kimbia.
mama kwani hujala ๐๐, Kama ni kula twende migahawa yenye jiko ili u show skills zako za kupika.Jamani, hiyo mbona haitoshi vzuri chips na kidari na ka pepsi big for 2 days ๐
Unasaka kichaaa mwenzio? Siku wote vikipanda humo ndani patakalika ๐Sio kweli binafsi ,sipimi kina ila najaribu kusaka ambae ni kichaa kama mimi tuishi wote
๐๐๐
Tulia mwenye kiti najaribu na mimi kuwinda๐katibu wa ma jobless pro max, naona una jifanya kipofu๐๐
wali rent kwangu, we were Ile favorite couple to be, wanted to go out na yeye ila aka jishaua.Usiogope kukataliwa.. we tupia tu, anaweza kuanza kutamani komwe lako tu, kisha as time goes anakupenda na wewe mzima mzima.