Usimbembeleze mwanamke anayekukataa, Wala usimuhudumie

Baada ya mimi kuupata uraisi wa wanaume bahili, nime shusha hiyo pesa hadi 10kπŸ˜‚πŸ˜†
 
Unajua kiuhalisia hamna cha maana ambacho wanawake hua wanatupa. Sasa mi hua nashangaa lijitu linahonga malaki, mara linahonga iphone, mara gari, mpaka nyumba miwatu inahonga! Sasa unajiuliza hivi huyu mtu ana akili kweli? Wakati apo unakuta huyo huyo demu kuna mhuni anapiga bure kabisa tena hela anapewa yeye.
 
Eti Mr. Mbuzi, hiyo 30,000 ni weekly or daily?
Kama ni monthly mtafuteni Drone Drake awaonyeshe wapi ananunuaga baby care products πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sijui kwa nini nashindwa kuamini kuwa mhusika si huyo dogo bali ni wewe! Pole sana!!!
 
Eti Mr. Mbuzi, hiyo 30,000 ni weekly or daily?
Kama ni monthly mtafuteni Drone Drake awaonyeshe wapi ananunuaga baby care products πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyie ngojeni tuu.. kaeni mkijua wanaume tukiamua kumuunga mkono dronedrake baasi wanawake mtakufa njaa humu manake hata hiyo 30k hamtaipata πŸ˜€ naomba mkae kwa adabu msituchefue maana babycare ni 3500 tu na mche mzima wa Jamaa ni 3000πŸ˜„.
 
You have talked on my behalf! Na ungecheza angekunyanyasa sana. Mambo ya kishamba kabisa!.
bro she acted like she was doing me a favor, wakati ni yeye hadi ali dance na ku cook for me!.

I felt like she was the one, the time my mom told me mkwe wangu yuko wapi nili taka mpeleka yeye.
but she missed that chance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…