Usimbembeleze mwanamke anayekukataa, Wala usimuhudumie

wali rent kwangu, we were Ile favorite couple to be, wanted to go out na yeye ila aka jishaua.

and mimi sio a beggar, I moved on coz kichwa kina mengi ya kufikiri.
(Hapa nasikiliza mahaba ya kibaπŸ˜†πŸ˜‚).
Ah unajikuta maskini jeuri, suala la kubembeleza we hizo sio vitu β€˜zako’ πŸ˜€πŸ˜€ wee utakuja kuchelewa kupata wa kwenda nae Madhabahuni
 
Nyie ngojeni tuu.. kaeni mkijua wanaume tukiamua kumuunga mkono dronedrake baasi wanawake mtakufa njaa humu manake hata hiyo 30k hamtaipata πŸ˜€ naomba mkae kwa adabu msituchefue maana babycare ni 3500 tu na mche mzima wa Jamaa ni 3000πŸ˜„.
πŸ˜‚πŸ˜‚ si ifike mahali kila mtu abaki na chake mazee?
 
Ah unajikuta maskini jeuri, suala la kubembeleza we hizo sio vitu β€˜zako’ πŸ˜€πŸ˜€ wee utakuja kuchelewa kupata wa kwenda nae Madhabahuni
nabembeleza Sana tu, nasikiliza na kuongea pale palipo sahihi na mtu sahihi.

ILa usi nifanye niwe Kama sina option bhana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ si ifike mahali kila mtu abaki na chake mazee?
We unadhani tukiamua kubaki na hela zetu nyie mtaishije hapa mjini? Sisi tunafanya kuwasaidia tuu msituone kama tuna shida saaana πŸ˜€
 
Umetupiga. Ukiona dem anaangali sura ujue kiwango cha pesa yako pekee kimeshindwa kumshawishi, hivyo anaangalia sababu nyingine kama kifungashio
Zingatia neno kifungashio.. sasa hata hicho huna wanini sasa wanini mimi
 
Zingatia neno kifungashio.. sasa hata hicho huna wanini sasa wanini mimi
Bidhaa muitayo ni pesa, sura kifungashio tu, huna ubavu wa kuacha bidhaa kisa muuzaji hana kifungashio. Azizi asingepata mke
 
Bidhaa muitayo ni pesa, sura kifungashio tu, huna ubavu wa kuacha bidhaa kisa muuzaji hana kifungashio. Azizi asingepata mke
Sasa kama hana pesa awe na kifungashio kama hana vyote akwendee
 
saa zingine kukataliwa na kuhudumia bila kupata kitu inakupa experience,
nawe unakua miongoni mwa wenye experience ya kunyimwa πŸ’
 
Haipendezi unapenda hela ya Mwanaume halafu yeye humpendi. Wanasema ukipenda boga, penda na ua lake.

Mabinti wasipende hela mtu wakati huo huo unamnyima mzigo

Siku akikuweka kwenye sita Kwa sita lazima utaitapika hela yake

Otherwise ubahatishe awe Mzee kama Mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…