Usimbembeleze mwanamke anayekukataa, Wala usimuhudumie

He! Wenzangu mnahudumiaga!!!?
Ebu tutoane ushamba maana me hilo neno nalisikiaga ila sielewi kumuhudumia mwanamke ndo aje yani? Kwani Wenzangu ninyi ni wahudumu?
 
Nitambembeleza na kumhudumia , ili mradi ninajua atanipa kitu gani kitafanya nifurahi, usinipangie meku.
Jamaa kaongea fact kifupi hata mwanamke tangu enzi na enzi hawapendi mwanaume anaebembeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…