Usimcheke mwenzako: Fundisho la Siri, jione wewe kupitia wengine

Usimcheke mwenzako: Fundisho la Siri, jione wewe kupitia wengine

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
4,151
Reaction score
4,277
Nimetafakari sana juu ya mfano wa mtu anayeogelea ufukweni akiwa uchi huku mwingine akimuangalia na kumcheka alivyo.

Katika tafakari hii nimejikuta nakosa maana ya kumcheka Kwa sababu tofauti ya anayecheka ni nguo tu alizovaa ila inawezekana mchekaji akawa kituko zaidi.

Fundisho la siri; Jifunze na jione wewe kupitia wengine Kwa ajili ya kujirekebisha wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom