Usimchukulie poa mtu ambaye humfahamu

Usimchukulie poa mtu ambaye humfahamu

Katoto sema ni wewe Ulichapwa Bwana[emoji23][emoji23]..Mwamba Alijua Haka kabinti Black katamnuku Tu!
 
Bhana nimecheka sana .
Kuna rafiki yangu kipenzi anamadharau sana akimwona mwanaume hajajiweka sawa anamcheka na akimfuata anamkimbia au anadai kaolewa .
Kuna huyu mkaka wako majirani kikazi yaani ofisi zao zinaangaliana.
Huyu kaka alimfukuzia best yangu tokea kitambo .
Ila yule dada alikuwa anamtolea nje ila alhamisi akaamua kumuuliza unanitakia nini jamaa akarespond nataka gemu.
Sasa best yangu akamwambia ijumaa nanafasi njoo kwa mechi rafiki ila yule dada alimchukulia powa akimwona fala sana.
Sasa siikaja siku yenyewe .
Dah msidharau rough people kamchapa mpaka basi mpaka huyo dada akarudisha heshima so kumbe hawa wakaka ambao hawavai vizuri msiwachukulie powa.
Jana akanitext nakuniambia kuwa usidharau mtu usiyemjua.
Sawa mbunge...
 
Hivi haya mambo yapo for real?
Mtu anakuomba mambo/mechi unatoa tu kizembe??
Halafu huyo rafiki yako wala hakumchukulia poa huyo jamaa...huwezi kwenda kufanya jambo kubwa la kulala na mtu kwa mtu unayemchukulia poa
Usichukulie poa.
Mwanaume ni dushelele
 
Bhana nimecheka sana .
Kuna rafiki yangu kipenzi anamadharau sana akimwona mwanaume hajajiweka sawa anamcheka na akimfuata anamkimbia au anadai kaolewa .
Kuna huyu mkaka wako majirani kikazi yaani ofisi zao zinaangaliana.
Huyu kaka alimfukuzia best yangu tokea kitambo .
Ila yule dada alikuwa anamtolea nje ila alhamisi akaamua kumuuliza unanitakia nini jamaa akarespond nataka gemu.
Sasa best yangu akamwambia ijumaa nanafasi njoo kwa mechi rafiki ila yule dada alimchukulia powa akimwona fala sana.
Sasa siikaja siku yenyewe .
Dah msidharau rough people kamchapa mpaka basi mpaka huyo dada akarudisha heshima so kumbe hawa wakaka ambao hawavai vizuri msiwachukulie powa.
Jana akanitext nakuniambia kuwa usidharau mtu usiyemjua.
Vp kwa upande wa wanawake.!!
 
Back
Top Bottom