Usimdhalau usiye mjua!

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
2,032
Reaction score
3,197
Hiyo si dhana tena bali ni uhalisia!

Katika ULIMWENGU huu wa kijasusi ni vyema sote tukatambua kwamba popote na vyovyote tufanyacho ni onekani kwa wasioonekana!

Leo hii hata muuza maji ya Kandoro usimwamini kwa wewe kujianika kwake kwa kila kitu.

Jasusi ni wewe,yule,wale na wasiowepo.

Lazima tujichunge na tuwe na kiasi katika lolote!

Nawatakia siku njema!
 
Tanzania hakuna jasusi ila kuna wambeya na wapenda unaa. watu wanafiki na wasiopenda mafanikio ya wengine

eti majasusi wakati majirani wamejaza watu katika serikali na mashirika na wazawa hawana pa kushika
 
Ujasusi bila uzalendo unakua umbeya tu.
 
HIVI MKUU NA WEWE NDIO UNAYAJUA HAYA LEO? HUWAGA TUNAPIGA SANA KELELE HAPA JUKWAANI KUWA MSIMUAMINI BINADAMU YEYOTE YULE LAKINI WATU HAMSIKII SASA SIKU YAKIWAPATA YAKUWAPATA MNAKUJA KULIA LIA HAPA.

NA MLETA MADA NAJUA UMEPIGWA TUU UKAJA KUTOA POVU HAPA. ILA POLE NI FUNZO KWA WENGINE PIA...
 
Nakumbuka sehem fulani mahali fulani. Kuna msemo " trust nothing, none. Suspect everything "
 
Unalidhoofisha jukwaa la intelligence kwa mada ilokosa weledi!!
unamwambia mtoto jihadhari na simba hata sifa za simba hazijui!..
 
Ujasusi mnaupenda ila wenyewe hauwapendi mmebaki tu kuuzungumzia kama kilimo cha matikiti maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…