Usimdharau mwanamke, yeye ndiye ufunguo wako wa mafanikio

Umepata demu mpya basi unajiona umeyapatia sana maisha, jipe muda utaanza kuja kulialia humu.... kwa sasa mbingu na nchi zote zako.
 
Kwenye hili nanyoosha mikono miwilijuu 🙌 sipingi kabisa najua nn kilinitokea.
 
Hizi lawama peleka kwa mwenyezi Mungu aliyeumba binadamu na akamuweka mwanamke kama dhaifu-ukipeleka hizi tuhuma kwetu ni sawa unatuonea maana sometime ni vigumu kuenda against nature.

By the way mwanamke kunizaa mimi,au mimi kuzaa mtoto wa kike au kumuoa mwanamke haiondoi uhalisia-maana aliyekuumba ndio alifanya kosa na sio sisi wanaume.
 
Labda ni ugonjwa au nina hitaji tiba, ila kwa namna alivyoniumiza kwa kweli nimeshindwa kusahau na hata kusamehe sijui kwa nini adi leo vinanitesa!
Babu naomba namba yako Nina shida na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…