Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Wamekua wananchi wa kwenye story za Lucas Mwashambwa wanaobubujikwa na machozi hata lita tano tano kwa ahadi za raisi 😂😂Dakika 5 unabubujikwa halafu ndio unamgeukia..That's too much..thank you.