Usimdhihaki wala usimkufuru Mungu. Kamwe hawezi ruhusu kiumbe alichokiumba kimkufuru, atakufutilia Mbali. Tazama Mifano hii

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Mlnakumbuka ya Brazili 2023? Walivyofanya sherehe ya kumtukuza Shetani? Kesho kutwa yake Mungu afutilia mbali kamji kote .

Vipi kuhusu walomtukana Mungu?.

View: https://youtu.be/_eGuEloeetM?si=o_JAQUPNjpvQoMOP

Na hili la Los Angeles halijathibitishia Uwepo wa Mungu? Hivi mnajua wiki chache kabla ya Moto ,kulifanyika Tamasha Kubwa Los Angeles lilojawa na dhihaka na kufuru Kwa Mungu.

View: https://youtu.be/0NHBLpvIXlk?si=qrTgGruDs8WYVQaU

Kwa ambao bado wako upofu , wataendelea kujipaka matope machon na Kauli za ni natural disasters 🤣

Kama Baba mzazi alokuzaa, ukimletea ujinga anakufuzia mbali, sembuse Mungu ambaye amekuumba wewe kama alivyomuumba Mbwa, paka , Ndege umdhihaki, atakufutilia Mbali tu.
 
Hata kijiji kama kinafanya ibada za ajabu kuna uwezokano wa kuangamizwa chote kwa sekunde chache, kinatumwa kimbunga hatari au mafuriko ya ghafla yanagharikisha kijiji kizima. Majanga ni mengi kutegemeana na eneo limekaa vipi kulengwa na janga gani. Kuombea miji kwa Mungu wa kweli ni vema sana
 
Mbona wayahudi kule Israel wanamtukana Yesu na mama yake matusi kuwa alikuwa kahaba na mwanae ni mtoto wa zinaa?
 
Kama unamaanisha MUNGU aliyeumba dunia na vyote vilivyomo hapo sawa ila kama ni mungu wenu wa mchongo aliyesulubiwa msalabani hapo wana haki ya kuwadhihaki
 
Mlnakumbuka ya Brazili 2023? Walivyofanya sherehe ya kumtukuza Shetani? Kesho kutwa yake Mungu afutilia mbali kamji kote .

Vipi kuhusu walomtukana Mungu?.

View: https://youtu.be/_eGuEloeetM?si=o_JAQUPNjpvQoMOP

Na hili la Los Angeles halijathibitishia Uwepo wa Mungu? Hivi mnajua wiki chache kabla ya Moto ,kulifanyika Tamasha Kubwa Los Angeles lilojawa na dhihaka na kufuru Kwa Mungu.

View: https://youtu.be/0NHBLpvIXlk?si=qrTgGruDs8WYVQaU

Kwa ambao bado wako upofu , wataendelea kujipaka matope machon na Kauli za ni natural disasters 🤣

Kama Baba mzazi alokuzaa, ukimletea ujinga anakufuzia mbali, sembuse Mungu ambaye amekuumba wewe kama alivyomuumba Mbwa, paka , Ndege umdhihaki, atakufutilia Mbali tu.

Ungem-cc Kiranga na wenzie wanaokaza mishipa ya shingo tuwathibitishie Mungu ni nani na yupo wapi!
 
Mathayo 12:31
Kwa sababu hiyo nawaambia, Kila dhambi na kila neno la kufuru watasamehewa wanadamu, ila kwa kumkufuru Roho hawatasamehewa.

32 Naye mtu ye yote atakayenena neno juu ya Mwana wa Adamu atasamehewa, bali yeye atakayenena neno juu ya Roho Mtakatifu hatasamehewa katika ulimwengu wa sasa, wala katika ule ujao.
Roho mtakatifu ndio nani?
 
Mbona wayahudi kule Israel wanamtukana Yesu na mama yake matusi kuwa alikuwa kahaba na mwanae ni mtoto wa zinaa?
Sio kweli. Shida ya Waisrael wao wanaamini allah ni sawa na shetani.

Ndio maana wapalestina wanachezeshewa kichapo kwa sababu hiyo, kila wakiambiwa waache kumsujudia allah wao ni wabishi tu, wanadai wanataka kuwawahi mabikira 72 wasije kuisha.
 
ngoja nikuletee ushahidi wa video ili zezeta wa mwamposa upate kuelimika
 
naona umegundua kanisa linalipa kuliko utabibu, unakusanya kondoo polepole
 
Sio kweli. Shida ya Waisrael wao wanaamini allah ni sawa na shetani.

Ndio maana wapalestina wanachezeshewa kichapo kwa sababu hiyo, kila wakiambiwa waache kumsujudia allah wao ni wabishi tu, wanadai wanataka kuwawahi mabikira 72 wasije kuisha.
1736699521020.png
 
Hata kijiji kama kinafanya ibada za ajabu kuna uwezokano wa kuangamizwa chote kwa sekunde chache, kinatumwa kimbunga hatari au mafuriko ya ghafla yanagharikisha kijiji kizima. Majanga ni mengi kutegemeana na eneo limekaa vipi kulengwa na janga gani. Kuombea miji kwa Mungu wa kweli ni vema sana
Hanang
 
Mlnakumbuka ya Brazili 2023? Walivyofanya sherehe ya kumtukuza Shetani? Kesho kutwa yake Mungu afutilia mbali kamji kote .

Vipi kuhusu walomtukana Mungu?.

View: https://youtu.be/_eGuEloeetM?si=o_JAQUPNjpvQoMOP

Na hili la Los Angeles halijathibitishia Uwepo wa Mungu? Hivi mnajua wiki chache kabla ya Moto ,kulifanyika Tamasha Kubwa Los Angeles lilojawa na dhihaka na kufuru Kwa Mungu.

View: https://youtu.be/0NHBLpvIXlk?si=qrTgGruDs8WYVQaU

Kwa ambao bado wako upofu , wataendelea kujipaka matope machon na Kauli za ni natural disasters 🤣

Kama Baba mzazi alokuzaa, ukimletea ujinga anakufuzia mbali, sembuse Mungu ambaye amekuumba wewe kama alivyomuumba Mbwa, paka , Ndege umdhihaki, atakufutilia Mbali tu.

Hapa braza umetudanganya.

Huyo Wqkuuwa aache watekaji na wauwaji aje aue wachekeshaji tu wasio na madhara?
 
Unazungumzia vipi watoto wa huko lebanon, gaza na kwingineko. Je na hao watoto watakuwa wamemfanyia nini mungu mpaka awaadhibu kupitia vita
 
Story za wasabato...
🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom