OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
kwanini walisema FORM IS TEMPORARY BUT CLASS IS PERMANENT?
Ni kwasababu walijua watatokea Watu na kutaka kufananisha Kiwango na DARAJA, ila wamesahau kuwa kuwa katika kiwango bora kwa muda mrefu ndio unajenga Daraja
Unapotaka kumfananisha Kipa yoyote narudia Kipa yoyote nchini dhidi ya Aishi Manula Kuna vitu unapaswa kwanza kuvifahamu akilini mwako
Kwanza idadi ya mechi hapa utapata kitu kinaitwa CONSISTENCY, amesimama kwenye ubora kwa muda mrefu sana ndipo hapo inakuja CLASS
Pili ndani ya idadi ya mechi lazima uje kutazama kitu kinaitwa LONGEVITY, span ya huyo Mchezaji ipoje tangu ameanza kukaa golini mpaka hivi sasa??
Well yes! Aishi ana ndoo nne za Ligi, mbili za FA, Ngao pia! Tutoke hapo tuje kwenye level alizocheza, kacheza michuano ya Afrika ngazi ya Klabu na timu ya Taifa! Ukija kwenye eneo hili wapo wangapi nchini wa kumfikia??
Hivi mnawaza nini kumfananisha Aishi na Kijana aliecheza mechi si zaidi ya 12 za Ligi Kuu?? Kijana ambaye hajui ladha ya michuano ya Afrika? Mnawaza nini??
Kijana mwenye kiwango bora anaendaje kumfundisha Golikipa mwenye Daraja la juu kwa muda mrefu?? Tangu lini sikio likazidi kichwa?😃
My Take
Unamfananisha Manula na kipa ambaye strikers pinzani wanakuwa wamelipwa posho na Hersi?