Usimfanye ajute kuwa mkeo /mmeo.........................!

Usimfanye ajute kuwa mkeo /mmeo.........................!

hii kali na ni kweli walio hivyo jirekebisheni na wanaume hata wanawake wapo waina hii hii
 
Poleni wanandoa kwa yanayowasibu humo ndoani!!
 
1.Kila siku kuingia nyumbani ni kuanzia saa saba usiku kama si asubuhi
2. Unakaa umenuna nuna bila sababu za msingi

3. Unalalamika mwenzangu haniridhishi unajuaje kama wewe unamridhisha ?

4.Unalalama mwenzangu mkorofi wewe umejichunguza kama si mkorofi

5.Out kila unaenda peke yako utadhani mwenzio hapendi kutoka out

6. Mkienda sehemu hamuongozani pamoja ..mmoja mbele mmoja nyuma utadhani hamfahamiani

7.Ukipigiwa simu unakimbilia chooni kuongea kama si nje

8.Kutwa hujiamini unahisi kuibiwa

9.Namba za kina Asia /Johan umesave ..Fundi Bomba …Fundi Umeme…Baba Paroko

10.Namba za Kina Joram /Hamis umesevu Msusi/Dada wa Viatu..

11.Unaongea kama umefungwa Tape

12.Kila siku Kulalamika mke /mme mchafu ..umechukua jukumu gani la kurekebisha matatizo?

13. Kujisifia sifia ooh mimi ikawa vile matendo zero….
14. Licha ya kurudi Night kali,vilevile shingoni LoveBite huku vifungo vya shati vikiwa vimepishana.
15. Harufu ya pafyumu unayonukia mida hii,si ile uliyokuwa unanukia Alfajiri wakati unaondoka nyumbani.
16. Mbaya zaidi na Nguo ya ndani umeigeuza wakati Alfajiri ulipoondoka ulikuwa umeivaa Fresh.
17. Unajibaraguza,...ohoo....!!! Mke wangu unajua leo tulikuwa na ugeni mzito ofisini,wakati sijakuuliza.
18. Unaikimbilia AirFresh ili ukapulizie ndani ya gari kwa madai eti ulimpa lifti rafikio aliyekuwa ananuka soksi,kumbe ni muongo unataka nisiinuse harufu ya Pafyumu ya mwanamke uliekuwa nae garini.
19. Unafoka kwa hasira....hebu niongezee kitoweo...ala..!!!!,wakati Alfajiri uliacha Buku.
20. Mbaya na kali kuliko zote,licha ya vituko vyoote ulivyonifanyia mchana kutwa, eti kitandani TUNALALA MZUNGU WA 4.
21. Uliponiaga unakwenda kusalimia kwenu, nilipotoka kanisani nikakuona umekaa kibarazani kwenye nyumba
uliyompangishia bibi mdogo huku umepakata katoto kachanga.

Tunaendelea....... thanx Madame B and Mamndenyi
weekend njema

Siku moja moja sio mbaya kwa afya lakini..tusisubiri kushauriwa na daktari
 
Kuridhishana ni siri ya mkunaji / mkunwaji!
 
Firstlady1 na hizi je:
14. Licha ya kurudi Night kali,vilevile shingoni LoveBite huku vifungo vya shati vikiwa vimepishana.
15. Harufu ya pafyumu unayonukia mida hii,si ile uliyokuwa unanukia Alfajiri wakati unaondoka nyumbani.
16. Mbaya zaidi na Nguo ya ndani umeigeuza wakati Alfajiri ulipoondoka ulikuwa umeivaa Fresh.
17. Unajibaraguza,...ohoo....!!! Mke wangu unajua leo tulikuwa na ugeni mzito ofisini,wakati sijakuuliza.
18. Unaikimbilia AirFresh ili ukapulizie ndani ya gari kwa madai eti ulimpa lifti rafikio aliyekuwa ananuka soksi,kumbe ni muongo unataka nisiinuse harufu ya Pafyumu ya mwanamke uliekuwa nae garini.
19. Unafoka kwa hasira....hebu niongezee kitoweo...ala..!!!!,wakati Alfajiri uliacha Buku.
20. Mbaya na kali kuliko zote,licha ya vituko vyoote ulivyonifanyia mchana kutwa, eti kitandani TUNALALA MZUNGU WA 4.

....NAJUUUTA KUWA MKEO...!!!
Kwanza mahari hujamaliza kulipa.
madame B na kwa style hii, lazma waibiwe sana nje, coz hao wezi huko nje nao, wakijua tu weakness ipo wapi, na wao wanakazia hapohapo! oh lord have mercy!
 
.....kha? The only way ku survive 'alive & sane" relationship hii ni either kuachana, au nawe kuwa na mapoozea saafi na ya kudumu.

Kwa maustaadhi kama sie hapa ndio pa kumkamata na kumla nguruwe, tena yule aliyenona.
 
Back
Top Bottom