Usimfanye mkeo raha akazitafute nje ya ndoa!

bacha

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Posts
4,282
Reaction score
797
..........hii ilikuwa ni kauli ya Kungwi mmoja maarafu,
mjini DSM;alikuwa akimfunda binti na kisha akawageukia na akina baba/wanaume,

Akazidi kusema......................

''Nawaambia akina baba/wanaume mkome kuwafanya wake zenu,
kuwa dada zenu, utundu na ufundi wote mwaupeleka kwa mahawala,
matokeo yake wake zenu wanaanza kutoka nje ya ndoa.''

Akazidi kusema...........................

''Wewe mume usimwonee huruma punda kwani kupigwa bakora,
ndiyo furaha yake, kama gari kanyaga mpaka chini,
hakuna aliyewahi kutoboa eksileta kwa kukanyaga mafuta.''

Wapendwa wanajamii wenzangu, habari ndo hiyo,
sijui nyie mwasemaje?
Mie nilibaki natikisa kichwa tu!!!!!!!!!!!!!!!!
MBARIKIWE SANA!!!!!
 
ha ha ha ha ha mkuu inategemea na size ya engine bana!
 
ya nje, ya ndani zote zafanana......lol!
 
Mi nashanga, ma ujuzi yote kwa hawara zenye rutuba zote unamwaga huko nje ndani unaleta iupepo tu, hamuoni hamtendi haki? kwa kweli mie namsapoti huyo kungwi maana wababa wengi wamejisahau sana kuhusu swala zima la kuwapa dozi wake zao, tena kama ndio anae wa pembeni anaweza kukupaa za uso hata mwezi mzima, hapo mdada akitoka analaumiwa nini sasa, binafsi sipendi na sitetei mwanamke au mwanaume kutoka nje lakini kuna situation inatokea inambana muhusika anajikuta keshatoka
 
Mambo ya pwani hayoo! nafikiri akina baba mmeyasikia

Hivi Aisha mambo ya malavidavi,
huwa ni kwa watu wa Pwani tu eeeeh?
Wa Bara sie hayatuhusu lol......kazi kweli kweli!!!!!!!
 
..mkuu sasa kama tunaufuata huo ufundi kwa mahawala tufanyaje?
 
ha ha ha ha ha mkuu inategemea na size ya engine bana!

Maneno ya kungwi hayo Samora,
sijui alikuwa anarefer engine yenye size gani.............
 
..mkuu sasa kama tunaufuata huo ufundi kwa mahawala tufanyaje?

si ndio kungwi anasema hapo,
eti tuache uvivu wakati hiyo huduma ipo majumbani kwetu!
Labda angetufafanulia huo ufundi gani tunaouonyesha huko nje..........
Tuendelee kudadavua................................
 
Asante kwa kunikumbusha, nitayafanyia kazi.
 
Sasa Shantel, binafsi sijakataa hilo,
ila hebu nisaidie hapo kwani ufundi unatakiwa uonyeshwe
na baba/wanaume tu?
 
si ndio kungwi anasema hapo,
eti tuache uvivu wakati hiyo huduma ipo majumbani kwetu!
Labda angetufafanulia huo ufundi gani tunaouonyesha huko nje..........
Tuendelee kudadavua................................

mkuu kuna vitu vingine nyumbani adimu kuvipata.. shurti utoke nje ya geti ili kuvibaini, ngoja fidel aje kushusha nondoz
 
Yipeeee acha awaambie hao wababa wakware, hivi mnapopeleka ujuzi wote nje mnataka wake zenu waonyeshwe na nani huo ujuzi?
au utakuta mtu kwa mkewe mstaarabu akienda nje ndio anaonyesha uchakaramu wake, nani kawaambia wake hawapendi waume machakaramu
 
mkuu kuna vitu vingine nyumbani adimu kuvipata.. shurti utoke nje ya geti ili kuvibaini, ngoja fidel aje kushusha nondoz

hivyo vitu adimu kuvipata huko nyumbani kwetu,
ndio haswa inabidi tuvibainishe ili hawa wake zetu,
kama ni mapungufu waliyonayo basi wayarekebishe.....................
 
Yipeeee acha awaambie hao wababa wakware, hivi mnapopeleka ujuzi wote nje mnataka wake zenu waonyeshwe na nani huo ujuzi?
au utakuta mtu kwa mkewe mstaarabu akienda nje ndio anaonyesha uchakaramu wake, nani kawaambia wake hawapendi waume machakaramu

unajuaje labda tunaenda kuchukua ujuzi huko nje na kuuleta ndani... lol
 
Yipeeee acha awaambie hao wababa wakware, hivi mnapopeleka ujuzi wote nje mnataka wake zenu waonyeshwe na nani huo ujuzi?
au utakuta mtu kwa mkewe mstaarabu akienda nje ndio anaonyesha uchakaramu wake, nani kawaambia wake hawapendi waume machakaramu

BB, nimeipenda hii kauli yako......................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…