bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
..........hii ilikuwa ni kauli ya Kungwi mmoja maarafu,
mjini DSM;alikuwa akimfunda binti na kisha akawageukia na akina baba/wanaume,
Akazidi kusema......................
''Nawaambia akina baba/wanaume mkome kuwafanya wake zenu,
kuwa dada zenu, utundu na ufundi wote mwaupeleka kwa mahawala,
matokeo yake wake zenu wanaanza kutoka nje ya ndoa.''
Akazidi kusema...........................
''Wewe mume usimwonee huruma punda kwani kupigwa bakora,
ndiyo furaha yake, kama gari kanyaga mpaka chini,
hakuna aliyewahi kutoboa eksileta kwa kukanyaga mafuta.''
Wapendwa wanajamii wenzangu, habari ndo hiyo,
sijui nyie mwasemaje?
Mie nilibaki natikisa kichwa tu!!!!!!!!!!!!!!!!
MBARIKIWE SANA!!!!!