Usimkopeshe ndugu yako

Usimkopeshe ndugu yako

Gol D Roger

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2023
Posts
2,316
Reaction score
6,082
HabarišŸ–

Kwa miaka mingi nilikiwa nikisikia huu usemi, sasa nimeuamini.

Usimkopeshe ndugu yako, hata kama anakuja kwa kuburuza magoti na machozi yanamtiririka.

Usimkopeshe ndugu yako, kama una hela, msaidie, aende zake, mbaki na amani.

Narudia tena usimkopeshe ndugu yako, kama ana shida bac msaidie kwa moyo mmoja, usimkopeshe.

Ukimkopesha ndugu yako, utapoteza hela yako na ndugu yako utampoteza, mtakuwa maadui bila sababu yoyote ya msingi.

Urafiki na undugu wenu, ni jambo la maana sana kuzidi hela, kamwe usikubali hela ikufarakanishe na marafiki zako, kamwe usikubali hela ikugombanishe na ndugu zako.

Ndugu yako akiwa na shida, msaidie, usimkopeshe ili wewe ubaki na amani.

Mm mwenzenu yamenikuta ndo maana nimeamua kuandika haya maneno.

Mara ya kwanza nilisema bahati mbaya, mara ya pili nikasema tena bahati mbaya, mara ya tatu sasa ndo akili imenijia kwamba ndugu hakopeshwi, anasaidiwa.

Usiponielewa kuna siku utanielewa.
 
Kumkopesha mtu (awe ndugu asiwe ndugu), ni zaidi ya kutoa sadaka. Mkopaji ni mhitaji anayejua exactly mahitaji yake, lakini mtoa sadaka ni mwenye nacho anayewazia uhitaji wa mwingine, hivyo anaweza kupatia au kukosea. Mpokeaji wa sadaka hana say juu ya mtoa sadaka.
Principle ya ukopeshaji ni hii, "Mkopeshe mhitaji lakini usiende kumdai kwani hujui kama uhitaji wake umeisha. Lakini pia ukikopa kwa mtu hakikisha unalipa kadri ulivyoaahidi."
 
HabarišŸ–

Kwa miaka mingi nilikiwa nikisikia huu usemi, sasa nimeuamini.

Usimkopeshe ndugu yako, hata kama anakuja kwa kuburuza magoti na machozi yanamtiririka.

Usimkopeshe ndugu yako, kama una hela, msaidie, aende zake, mbaki na amani.

Narudia tena usimkopeshe ndugu yako, kama ana shida bac msaidie kwa moyo mmoja, usimkopeshe.

Ukimkopesha ndugu yako, utapoteza hela yako na ndugu yako utampoteza, mtakuwa maadui bila sababu yoyote ya msingi.

Urafiki na undugu wenu, ni jambo la maana sana kuzidi hela, kamwe usikubali hela ikufarakanishe na marafiki zako, kamwe usikubali hela ikugombanishe na ndugu zako.

Ndugu yako akiwa na shida, msaidie, usimkopeshe ili wewe ubaki na amani.

Mm mwenzenu yamenikuta ndo maana nimeamua kuandika haya maneno.

Mara ya kwanza nilisema bahati mbaya, mara ya pili nikasema tena bahati mbaya, mara ya tatu sasa ndo akili imenijia kwamba ndugu hakopeshwi, anasaidiwa.

Usiponielewa kuna siku utanielewa.
Mimi na ndugu yangu ni maadui wakubwa na sababu ni hii hii
 
That's true!!!!
 
Back
Top Bottom