Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Kweli kabisaNaunga mkono hoja
Ukipiga kelele sana utaonekana si mstaarabuUkiwa mkimya sana utaonewa ohooo!
Siku Moja Moja πUkipiga kelele sana utaonekana si mstaarabu
Hii shule kubwa sana. Yeye asomaye na afahamu. Mtoa mada ishi milele!Usimlazimishe mtu akuelewe.
Watu sahihi wataona nia yako bila kulazimika kujieleza mara elfu. Sio kila mtu atatafsiri moyo wako kwa usahihi, na si kila mtu anahitaji kupata maelezo ya kila unachofanya.
Acha matendo yako yazungumze. Linda amani yako, na usipoteze nguvu ukijaribu kujithibitisha kwa mtu ambaye tayari ameamua kutokuelewa.
Wakati mwingine, ukimya ni jibu bora kuliko maelezo marefu.
ππ½Hii shule kubwa sana. Yeye asomaye na afahamu. Mtoa mada ishi milele!
hawawezi maana ukiwa mkimya watu wanakuogopa balaaUkiwa mkimya sana utaonewa ohooo!
Tawile