Usimnyanyue juu mtoto kwa njia hii ni hatari kiafya......

naungana na wewe dr mzizimkavu,kumshika mtoto hivyo kunasababisha erb-duchenne palsy ambayo inatokana na kuvutika kwa mishipa iliyopo katika root ya juu katika brachial plexus.tunapowabeba au kuwashika watoto kwa namna hiyo mishipa inavutika na inaweza sababisha paralysis.
Kwa kuongezea hapo kwa mzizimkavu,pia katika kujifungua maranyingine wakunga wanakosea wanavuta mkono mmoja zaidi,au wanavuta kichwa upande mmoja zaidi.hii pia husababisha tatizo hilo.
 
Kina baba ndo zao hizi, wanabeba watoto kama vimidoli

Thanks mzizi
 
Da! nashukuru sana kwa info maana hata jana tu nilimnyanyua mtoto hivyo
 
Asante sana kwa kutuelimisha MziziMkavu. Mbona ntakuwa makini nikiona mtu kabeba mtoto hivi.
 
Last edited by a moderator:
Hawa wanaume hawa! Eti hujidai wanawachangamsha ili wakazane. Ngoja nimuoneshe baba yao huu Uzi sasa ivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…