Usimnyanyue juu mtoto kwa njia hii ni hatari kiafya......

Dah kweli aisee afu akina baba ndo zao kuna siku katoto kalimonyolewa mkono hivyohivyo ilichukua muda kidogo kakapona! Washaskia!
 
nikweli miyalishanipata ;baba yake alimnyanyua juu kwa mikono;alafu mtoto akanza kulia tu kumkimbikiza hosp.kaumia joint za mikono sababu yakunyanyuliwa juu;akapatiwa dawa kapona;ila tulijifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…