Usimp, udhaifu wa kiume unaopewa sura ya ushujaa wa kiume

Kataa usimp.

Usimp ni laana
 
Masimp ni kenge.
 
Vyovyote itakavyokua lazima kuwe na reciprocal, vinginevyo mmoja anatumika kimasilahi
Ukiwa kwenye kupenda, kutumika hakuepukiki bro.....

Kutumika inaweza kuwa hela, vizinga vya vitu au kutumika papuchi vyote hivyo ni kutumika
 
Inashangaza sana mtu kujiona mbabe kwa Kiumbe dhaifu kama mwanamke, Wanaume wa kweli wana jenga maghorofa, Shika dola, Rusha sattellite huko, Nyinyi kazi zenu ni kuhamasishana namna ya kudeal na Mwanamke?
 
Jenga ghorofa lako rusha satellite yako ila vile vile unatakiwa uwe na art ya kudili na mwanamke

Watu wengi ambao wapo powerfully waliangushwa na wanawake,kwahiyo usi mdharau huyu kiumbe

Nahisi unaelewa potofu kuhusiana na nini watu wanazungumzia hapa

Mahusiano ya mwanaume na mwanamke yawe two way traffic na sio mwanaume tu kukandamizwa au kunyonywa

Tunaelewa haiwezi kuwa sawa lakini walau mwanamke nae awe sehemu ya mchango katika mahusiano,siyo lazima iwe pesa bali inaweza kuwa mda wake,upendo kwako na kuonyesha kujali

Sasa ubabe unatoka wapi?
 
Ukifata ushauri huu jiandae kuwa member mzuri wa CHAPUTA!

Ila naunga mkono hoja ya mleta maada!
Na hapo ndipo masimp wanapokamatwa. Wao wakisikia neno mwanamke picha ya kwanza inayowajia akilini ni sex tu. Hawawazii heshima yao, uchumi, afya ya akili, malengo wala future ya familia anayotarajia kuwa nayo.

Hatua ya kwanza kujiondoa kwenye usimp ni ku-unlock iyo code ya sex. Unatakiwa kujua kwenye akili ya mwanamke sex sio starehe tu, pia ni nyenzo ya kumdhibiti, kumtawala na kumlaghai mwanaume.. Uzuri ni kwamba kwa sasa kupata huduma ya sex sio ishu sana kama zamani.

As man, if you manage to control your lust you will prevent 85% of problems in your life. Sex is not worth making your life miserable for.
 
Inashangaza sana mtu kujiona mbabe kwa Kiumbe dhaifu kama mwanamke, Wanaume wa kweli wana jenga maghorofa, Shika dola, Rusha sattellite huko, Nyinyi kazi zenu ni kuhamasishana namna ya kudeal na Mwanamke?
Wewe usharusha satellite ngapi mpaka leo hii?
 
Ukiwa kwenye kupenda, kutumika hakuepukiki bro.....

Kutumika inaweza kuwa hela, vizinga vya vitu au kutumika papuchi vyote hivyo ni kutumika
Hii ni kwa simp, kwa upande wangu huu mtazamo wako haufanyi kazi. Kanuni yangu ya kwanza kabisa kwenye mchakato wa kuanzisha na kudumisha mahusiano ni reciprocality. Unachotaka upewe ndicho unapaswa kutoa hata kama sio kwa kiwango kile kile angalao jitahidi tu kwa uwezo wako unapoishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…