Usimpe jirani au rafiki yako yako unga,mpe mahindi ,hela au muache afe njaa

Usimpe jirani au rafiki yako yako unga,mpe mahindi ,hela au muache afe njaa

Jirani yako akikuomba unga,mpe mahindi au mpe hela
Kama vyote huna,muwache afe njaa
Kwa maana ukimpa unga akaumwa tumbo,hautobaki salama,
Kwahio ukimpa mahidi akiumwa unakua salama! Kwa hali hii hakuna wa kuitoa CCM
 
Back
Top Bottom