Usimpeleke single mother getoni kwako kama huna mpango wa kumuoa

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Usimpeleke au kumuelekeza single maza unapoishi usije kusema sijakwambia narudia kama huna mpango wa kumuoa huyo single maza basi pigia lodge huko

Na ukijifanya husikii kuna siku atakufata hapo geto akiwa na vitu vyake vyote kwa maana ya kwamba anahamia kwako hapo na wewe huna mpago wa kumuoa inaitwa forced marriage 🤣🤣🤣🤣

Nao siku izi ni wajanja utasikia mimi sio wa lodge kama huna chumba chako basi, akikuta uko vizuri jiandae kuoa .
 
Usimpeleke au kumuelekeza single maza unapoishi usije kusema sijakwambia narudia kama huna mpango wa kumuoa huyo single maza basi pigia lodge huko.

Sio kweli. Unawachafua hao watu bila sababu zenye mashiko
 
Unakuta unajilia single mother si wife material na unamjaza mimba anakuambia nioe kabisa. Ukiangalia hana shepu, hana sura mvuto, hana lugha nzuri, hapo unaacha tu ila mtoto utatunza
 
Hao ndo wanatuweka mjini.. ma loseball yetu hayo.

Tena upate lile limetoka kutendwa na bwana wake we unajilia tu tena kwa gharama nafuu .

Maumivu yakiisha anarudi kwa mshkaji wake na wewe unapita zako kushoto maisha safi kabisa.
 
Unakuta unajilia single mother si wife material na unamjaza mimba anakuambia nioe kabisa. Ukiangalia hana shepu, hana sura mvuto, hana lugha nzuri, hapo unaacha tu ila mtoto utatunza
Kama umemuona hafai kwanini umtongoze si ukatafute hao wenye mashepu
 
Hata lodge anaweza kukwambia tuzae tu nitalea mwenyewe, ukijichanganya umekwisha
 
Usimpeleke au kumuelekeza single maza unapoishi usije kusema sijakwambia narudia kama huna mpango wa kumuoa huyo single maza basi pigia lodge huko.
Na ukijifanya husikii kuna siku atakufata hapo geto akiwa na vitu vyake vyote kwa maana ya kwamba anahamia kwako hapo na wewe huna mpago wa kumuoa inaitwa forced marriage 🤣🤣🤣🤣
Nao siku izi ni wajanja utasikia mimi sio wa lodge kama huna chumba chako basi, akikuta uko vizuri jiandae kuoa .
🤣
 
Au ndo wale mnaosemaga kuwa kila route anayokuja anaacha alama, mara khanga, mara mtandio, mara viatu n.k, yaan anahamidha nguo kidogokidogo mwisho anakuja na begi halina kitu, vyote alishatanguliza😄
 
Back
Top Bottom