Sio kweli. Unawachafua hao watu bila sababu zenye mashikoUsimpeleke au kumuelekeza single maza unapoishi usije kusema sijakwambia narudia kama huna mpango wa kumuoa huyo single maza basi pigia lodge huko.
Na ukijifanya husikii kuna siku atakufata hapo geto akiwa na vitu vyake vyote kwa maana ya kwamba anahamia kwako hapo na wewe huna mpago wa kumuoa inaitwa forced marriage 🤣🤣🤣🤣
Nao siku izi ni wajanja utasikia mimi sio wa lodge kama huna chumba chako basi, akikuta uko vizuri jiandae kuoa .
Kabisa yan ankuja tuAkija na mabegi yake ataishia mlangoni, sipendi ujinga mimi.
Kama umemuona hafai kwanini umtongoze si ukatafute hao wenye mashepuUnakuta unajilia single mother si wife material na unamjaza mimba anakuambia nioe kabisa. Ukiangalia hana shepu, hana sura mvuto, hana lugha nzuri, hapo unaacha tu ila mtoto utatunza
😂😂😂😂😂😂Hao wanawake wajinga kiasi hicho huwa mnawaokota wapi?
huwa tunafunika kichwa na miguu tunapochakata mademu wasio na shepu na sura nzuri. Ukiacha wazi utakata stimu harakaKama umemuona hafai kwanini umtongoze si ukatafute hao wenye mashepu
Kwani mnalazimishwa kuwala?huwa tunafunika kichwa na miguu tunapochakata mademu wasio na shepu na sura nzuri. Ukiacha wazi utakata stimu haraka
🤣Usimpeleke au kumuelekeza single maza unapoishi usije kusema sijakwambia narudia kama huna mpango wa kumuoa huyo single maza basi pigia lodge huko.