mfichuamambo
Senior Member
- Jul 22, 2021
- 107
- 313
Namshukuru Mungu sana baada ya kutekelezwa na mimba na Ex wangu nakumbuka hadi nilitamani kuitoa (Mungu anisamehe sana haya mawazo sijui yalitokea wapi)
Nililea mimba mwenyewe hadi nikajifungua mungu alivyo mwema nilijifungua mapacha maana mimi pia nilizaliwa pacha lakini pacha wangu alikufa siku chache baada ya mama kutuzaa.
Jamani wanaume wengine hapana uwiii mpaka nimejifungua mwaka juzi hakunitafuta na wala kujigusa even alinitelekeza na mimba ya miez 6 mbwa yule
Sahivi watoto wamefikisha miaka 2 ndo anajirudisha kwa bidii zote na saivi ndo simpendi hata sina haja nae na nilishamsahau namuona hana maajabu tu kisoda yule
Alafu mungu alivyo mwema sasa nilivyojifungulia kwetu nimekaa miez sio mingi nikapatiwa mchongo nikapata kikazi mahali nikafanya kama miezi flan nikakutana na mtu akanisapoti nikaacha ile kazi nikafungua biashara Mungu ni mwema biashara imekua kubwa na nalea wanangu mwenyewe
Sahivi ndo anajirudisha mbona amechelewa?Maex huwa hawana akili kabisa usikubali kumrudia ex wako utavuna mauti na balaa alikua na vipesa kuna limama alikua anatoka nalo likimpa mihela yule mama kadead na habar imeishia hapo alikua na kazi mkandarasi kamaliza mkataba make kwanza nicheke apo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahiv anakaa kwao alinunua had kiwanja nikiwa nae akadanganywa akakiuza alikua na pikpik imekwenda na maji sahiv anaishi kwa shemeji yake alikoolewa dada yake anaomba kurudi kwangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sirudiagi matapishi kama ni watoto hatokaa awaone hata kuwahug labda nife nioze watoto hawatokuja wakanyage kwa huyo shetan alokana tokea mimba
Jamani msirudie maex ni laana tupu mimi sirudi nyuma tena nipo naela watoto wangu namshukuru Mungu