Usimrudie Ex wako unaweza kuvuna kifo analia anataka kurudi huyu mjinga

Usimrudie Ex wako unaweza kuvuna kifo analia anataka kurudi huyu mjinga

Hizo ni hasira tu huyo si tu ex ni mzazi mwenzio

Watoto ni wadogo chance ya kurudiana ipo na mkalea watoto wenu pamoja

Wakati mwinginee wanaume hukimbia mimba kwasababu ya woga baada ya muda ujirudi

Miaka miwili ni michache sana sizani kama hata una uhusiano wa kueleweka


Mimi ushaurii wangu ni kuwa kubali kurudi kwake kwa sharti la ndoa. Mwambie akuoe ila chunga sana endelea kwanza kumuangalia kama amebadilika na mruhusu afanye majukumu yake kama baba wa hao watoto acha kuwanyima haki hao twins
 
Back
Top Bottom