fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
shukrani,upo macho kama mimi najisomea mambo mbalimbali kuhusu siasa za KenyaSawa
Ndoa nyingi zinaharibika kwasababu mke au mume kumsema mwenzie kwa watu hovyohovyo.Ni vizuri kuongea nyie wawili panapotokea kutokuelewana.Ugumu unatoka wapi,mbona mnavuliana nguo na kushiriki tendo la ndoa?Acheni hii tabia
1.kutoa siri za ndani"kumsema vibaya mke/mume" kwa watu ni kama kumsemaje.
JESUS IS LORD&SAVIOR
Kusema madhaifu yake kwa ndugu, marafiki, michepuko nk."kumsema vibaya mke/mume" kwa watu ni kama kumsemaje.
JESUS IS LORD&SAVIOR
sawa kabisaKusema madhaifu yake kwa ndugu, marafiki, michepuko nk.
Naomba jibu la Swali hili👉 (UPENDO NI NINI?)Usikae na mavitu moyoni ni heri useme usaidiwe mawazo..watu wanawasema mpk mama na watoto zao..sembuse binadamu mliyekutana ukubwan
NB:USISEME TU ZILE SIRI ZA KIBAILOJIA MFANO MAMBO YA MAPENZI AU KUNUKA UCHI ILA MENGINE MFANO KAMA ANA MATUMIZI MABAYA YA PESA AU ANAGAWA VITU OVYO UNAWEZA KUSEMA KWA MTU MZIMA AKAKUPA NJIA
Nakuunga mkonoUmenena vyema,
But another challenge is, kwenye kuongea hapo Kwa wawili ndipo Huwa chanzo Cha migogoro hasa pale wanapopishana kauli, mirazamo na kutoelewana.
So nakazia ili kuweza kujenga ndoa yenye mapenzi ni muhimu kujifunza na kuzungumza Lugha ya Mapenzi ya kihisia ya mwenzi wako ili kuimarisha mahusiano wenye Uwezo WA kujadili na kutatua changamoto zinazotokea bila vikao vya nje 🙏
Usiseme siri za mume/mke, maumbile, udhaifu kitandani, uchafu nk. Kuna vitu vya kusema, lakini chagua wa kuwaambia, sio kila mtu atakupa solution kwa matatizo yako, wengi watakucheka tu.Nikae na mavitu moyoni sipati suluhisho mwisho nipate stress. Lazima nimuhadithie mtu kwa kweli
Siwezi kuongelea maumbile maana kama siyapendi nisingekuwa nae. Mambo ya kawaida nasemaUsiseme siri za mume/mke, maumbile, udhaifu kitandani, uchafu nk. Kuna vitu vya kusema, lakini chagua wa kuwaambia, sio kila mtu atakupa solution kwa matatizo yako, wengi watakucheka tu.
Baada ya hapo?....ndio umepata suluhisho?Nikae na mavitu moyoni sipati suluhisho mwisho nipate stress. Lazima nimuhadithie mtu kwa kweli
Kuongea yanayokusibu inasaidia kutoa nyongo mwilini. Hata ukikaa kimya kama solutuon haipo ni haipo tu.Baada ya hapo?....ndio umepata suluhisho?