Mungu na Shetani huwa hawaingilii free will ya mwanadamu. Kumshinda shetani ni maamuzi ya mtu na wala sio kwa sababu ya ushawishi mkubwa wa shetani, maana tayari unajua kuwa shetani ni mshawishi.Kuzijua mbinu za shetani sio kuzishinda...
Shetani ana mbinu na ushawishi mkubwa...
Kumshinda shetani ni kuwa na Mungu pekee...Mungu na Shetani huwa hawaingilii free will ya mwanadamu. Kumshinda shetani ni maamuzi ya mtu na wala sio kwa sababu ya ushawishi mkubwa wa shetani, maana tayari unajua kuwa shetani ni mshawishi.
Unapotaka kuchepuka, unakwenda loji ya mtaa wa mbali na unapoishi, unatafuta gari ya tinted, unamwambia mchepuke asiongozane nawe nk, hizi zote sio mbinu za shetani, ni maamuzi yako baada ya kushawishiwa.
Imeandikwa mtii Mungu na umpinge Shetani.Kumshinda shetani ni kuwa na Mungu pekee...
Shetani ni Roho na Mungu ni Roho
Ila mwanadamu ana mwili wa nyama, amabao unamapungufu mengi, hivyo kwa akili zake hawezi...