AskariKanzu
Member
- Jul 25, 2025
- 38
- 146
Bro makinika awa madogo janja mnaowaleta town kusikilizia michongo itiki muwe nao macho, mnapo waacha nyumbani na shemeji zao unatengeneza bomu la nuclear.
Husimruhusu mdogo wake akae tu nyumbani na shemeji yake unakuta vyumba vyenyewe unavyo viwili tu unamuita dogo wanini?
Muite dogo baada ya mchongo kupatikana na mpe kodi ya mwezi mmoja akapange huko, ukimuendekeza atavunja ndoa au mahusiano yako.