Usimuadhibu Mtoto Kwanza Jitahidi Kumuelewa.

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,235
Reaction score
5,854
Juzi nlienda kumsalimia Dada angu kwake basi baada ya kukaa kidogo akaja mwanae akaanza kunambia wee anko KISIMI, hee nkashituka nkamwambia unasemaje wewe akarudia tena KISIMI wee anko. Aisee nkashika bakora nikamchapa kweli ndo Dada anakuja anasema mtoto alimaanisha 'KISS ME'

Basi ikabidi nimbusu tu wakati ameshakula fimbo za kutosha. Dah samahani sana uncle.
 
bwahahahaaa ....hahaa hahaaaa hahaa ...."" lipa mbavu zangu mamaeee"""
 
Teh teh teh Alikuona unafanana na Kissmi
Au alikua na harufu kama kissme [emoji38]
bwahahahaaa ....hahaa hahaaaa hahaa ...."" lipa mbavu zangu mamaeee"""
Anko papuchi a.k.a KISIMI
Aisee! Anko kissimi wacha umpe bakora dogo
Nalog off
sawa anko kisimi nimekuelewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Dah, aisee wakuu niombeni radhi aisee. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom