KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
Juzi nlienda kumsalimia Dada angu kwake basi baada ya kukaa kidogo akaja mwanae akaanza kunambia wee anko KISIMI, hee nkashituka nkamwambia unasemaje wewe akarudia tena KISIMI wee anko. Aisee nkashika bakora nikamchapa kweli ndo Dada anakuja anasema mtoto alimaanisha 'KISS ME'
Basi ikabidi nimbusu tu wakati ameshakula fimbo za kutosha. Dah samahani sana uncle.
Basi ikabidi nimbusu tu wakati ameshakula fimbo za kutosha. Dah samahani sana uncle.