Au alikua na harufu kama kissme [emoji38]Teh teh teh Alikuona unafanana na Kissmi
bwahahahaaa ....hahaa hahaaaa hahaa ...."" lipa mbavu zangu mamaeee"""Juzi nlienda kumsalimia Dada angu kwake basi baada ya kukaa kidogo akaja mwanae akaanza kunambia wee anko KISIMI, hee nkashituka nkamwambia unasemaje wewe akarudia tena KISIMI wee anko. Aisee nkashika bakora nikamchapa kweli ndo Dada anakuja anasema mtoto alimaanisha 'KISS ME'
Basi ikabidi nimbusu tu wakati ameshakula fimbo za kutosha. Dah samahani sana uncle.
ha hahaa haha haha ...aiseee"""
Teh teh teh Alikuona unafanana na Kissmi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Au alikua na harufu kama kissme [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh Alikuona unafanana na Kissmi
Au alikua na harufu kama kissme [emoji38]
bwahahahaaa ....hahaa hahaaaa hahaa ...."" lipa mbavu zangu mamaeee"""
Anko papuchi a.k.a KISIMI
Aisee! Anko kissimi wacha umpe bakora dogo
Nalog off
sawa anko kisimi nimekuelewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah..! Kisimi ndiyo nini???