Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

Hiyo sms imeniuma hadi mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam hapo ndipo tunapojifunza siku hadi siku. Makosa hayawezi kujirudia. Japo aliendelea kutaka nimrudie nikampotezea
Ila ni bora tu umchane ukweli ili uwe huru nafsini maana ukiamua kuondoka kimya kimya nadhani sio poa
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…