Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

Kama unatumia Anroid ukienda google playstore kuna app inaitwa WHATS WEB CHAT....

Unaidownload halafu ukipata simu ya huyo wifi yangu unaingia whatsapp kune settings kuna sehemu ya whatsapp web.

Then kune simu yako utafungua hiyo app WHATS WEB CHAT...utascan sasa QR code ya inayoonekana hapo kune whatsapp web(kune simu ya wifi etu)....
Ahsanteee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mi yalishanikuta ila mwisho wa siku nikaona ni upuuzi kuumiza kichwa kwa kumfikiria mtu asiyenifikiria na wala sikujua kama ntakutana nae so nikaanza kukaa kimya ,nikiwa mpweke naingia zangu bar naagiza mzinga wangu earphone zangu maskio taratiiibu najiburudisha siku inaisha
Hii njia safi sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuuu ina maana huyo demu alikuw Hashtuki kuona ame hakiwa na wasap web? Maana ukii conect na wasap web kwenye notifcation bar inaonesha. Ina maane yeye hakutambua hilo?????

Any way nimeisoma had mwsho ipo so interesting, wengine tulijua hilo since under 18. Hawa watu siyo wakuwapa trust. Hadi now tuna cheza nao ngoma moja (ngote ngote)

Yeye sio mtaalam wa simu mkuu hakulitambua hilo nadhani alikua anahisi ni notification ya kawaida tu zinazotokea kwenye simu. Mana ni kweli ukiingia wasap web kwake inaleta notification ila kama mtu sio mfuatiliaji hawezi jua ni kitu gani.

Mtu Mzito HEAVY WEIGHT
 
Back
Top Bottom