Usimuudhi mtoto

PNC

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
8,106
Reaction score
14,353
Dingi alimuuliza mwanawe; 'hivi we mtoto, ninapokupiga hasira zako unazimalizia wapi?'

Dogo akajibu: 'chooni'

Dingi akauliza tena: 'sasa chooni unamalizia vipi hasira zako?'

Dogo akajibu: kwa hasira huwa nasafisha tundu la choo kwa kutumia mswaki wako!.' Dingi akazirai..!
 
Umefunika kiongozi.
Siku yangu imerefuka kwa furaha
 
Anaweza sababisha dingi wake apoteze maisha
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…