Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 752
Ni sahihi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi sana,wengi wanajitutumua ili ionekane wako vizuri kifedha ila gharama nyingine tunazotajiwa sio za kweli.Kuna kipindi nilikua nataka kujenga nyumba nikawa
najaribu kuulizia gharama hapa na pale on how i can make it mpaka finishing nyumba simple ya room 3
Most of my friends ambao walikua wamesha jenga walikua wanataja gharama kubwa sana ili tu ionekane nyumba zao ni gharama na wengine wanakatisha tamaa kabisa,
on reality ujenzi wa nyumba ni gharama ila sio kama wengi wanavyo katisha watu tamaaa
ukiwa na commitment tu unaweza kujenga
so vijana acheni kuuliza sana tafuta wataalamu wa makadilio ya ujenzi then bei za materials ulizia mwenyewe na usimamie mpaka mwisho,
Punguza kula bia kuhonga utajenga kabla ya kustaafu,
usitegemee kutumia pesa ya pension kwenye ujenzi utawatesa watoto wako na kuwalaumu hawakujali.
Kingine ukitaka kufanya kitu cha maana, usiulize, anza hima.Kuna kipindi nilikua nataka kujenga nyumba nikawa
najaribu kuulizia gharama hapa na pale on how i can make it mpaka finishing nyumba simple ya room 3
Most of my friends ambao walikua wamesha jenga walikua wanataja gharama kubwa sana ili tu ionekane nyumba zao ni gharama na wengine wanakatisha tamaa kabisa,
on reality ujenzi wa nyumba ni gharama ila sio kama wengi wanavyo katisha watu tamaaa
ukiwa na commitment tu unaweza kujenga
so vijana acheni kuuliza sana tafuta wataalamu wa makadilio ya ujenzi then bei za materials ulizia mwenyewe na usimamie mpaka mwisho,
Punguza kula bia kuhonga utajenga kabla ya kustaafu,
usitegemee kutumia pesa ya pension kwenye ujenzi utawatesa watoto wako na kuwalaumu hawakujali.
nimetumia 20M mpaka kupaua kabla ya finishing
Unafikiri mtu anayejenga sehemu ya tambarare na anayejenga kwenye mteremko gharama itakua sawa? Anayejenga kwenye tifu tifu na mfinyanzi ni sawa?Nimetumia 20M mpaka kupaua kabla ya finishing
Ukishamaliza finishing rejea gharama walizokupa rafiki zako ulinganishe na gharama walizokupa. Pia kumbuka kwenye finishing watu wanatumia materials za gharama na viwango tofauti.Nimetumia 20M mpaka kupaua kabla ya finishing
Mpaka unapata mafao hao watoto wako si watakuwa na miji yao. Labda utese wajukuu. Tuzae mapemaKuna kipindi nilikua nataka kujenga nyumba nikawa
najaribu kuulizia gharama hapa na pale on how i can make it mpaka finishing nyumba simple ya room 3
Most of my friends ambao walikua wamesha jenga walikua wanataja gharama kubwa sana ili tu ionekane nyumba zao ni gharama na wengine wanakatisha tamaa kabisa,
on reality ujenzi wa nyumba ni gharama ila sio kama wengi wanavyo katisha watu tamaaa
ukiwa na commitment tu unaweza kujenga
so vijana acheni kuuliza sana tafuta wataalamu wa makadilio ya ujenzi then bei za materials ulizia mwenyewe na usimamie mpaka mwisho,
Punguza kula bia kuhonga utajenga kabla ya kustaafu,
usitegemee kutumia pesa ya pension kwenye ujenzi utawatesa watoto wako na kuwalaumu hawakujali.
Hapa wengi ndio huwa mnakosea. Unasahau hio 30m imejumlisha na bei ya kiwanja. Mfano kiwanja 10m, hapo imebaki 20m ya ujenzi. Kwako 20m kujenga nyumba mpaka ikamilike kila kitu unaona ajabu?! Na nssf ni biashara haya weka na faida yao bei inategemea itakuwa kiasi gani?Mwenye nyumba au NSSF.
Hawa jamaa waliniletea nyumba ya vyumba viwili,jiko, sebure na dining kwa 30mil nikahisi ndoto za kuitwa mwenye nyumba zinaondoka.
Kumbe doh, wanafanya biashara.
Labda ana maana utawatesa wakulipie KodiMpaka unapata mafao hao watoto wako si watakuwa na miji yao. Labda utese wajukuu. Tuzae mapema
Na hili ndo wengi hawaliwazii kwenye hizo ishuHapa wengi ndio huwa mnakosea. Unasahau hio 30m imejumlisha na bei ya kiwanja. Mfano kiwanja 10m, hapo imebaki 20m ya ujenzi. Kwako 20m kujenga nyumba mpaka ikamilike kila kitu unaona ajabu?! Na nssf ni biashara haya weka na faida yao bei inategemea itakuwa kiasi gani?
Au tuseme umejenga mwenyewe hio nyumba ya vyumba viwili umetumia 20m utaiuza bei gani? Kumbuka 20m ni gharama za ujenzi tu bado bei ya kiwanja na faida yako kwa uwekezaji huo.
📌Ujenzi wa nyumba inategemea na vitu vingi sana ambavyo kila mtu anaweza kukutana navyo tofauti kutokana na aina ya nyumba, aina ya udongo, aina ya materials ya kujengea.
Vifaa vya ujenzi vina tofauti sana haswa ubora. Kuna vitu kama msingi wengine wanafunga mkanda wengine hawafungi, kuna renta wengine wanaweka nondo tatu wengine wanaweka nne.
Kwenye bati kuna wengine wanaweka vigae, kuna wengine wanaweka decra kuna wengine wanaweka bati la kawaida kabisa yale ya zamani
Kwenye finishing ndio kuna tofauti kubwa sana. Kitasa kipo cha elfu kumi mpaka cha milioni moja. Choo kipo cha elfu 20 mpk cha milioni mbili
Unaweza kuona nyumba zinafanana sana kwa nje lakini nyingine imeizidi mara mbili kutokana na materials aliyoyatumia
Nisahihi kabisaUmesema kweli Kama bila ya Finshing!
Wengi wanauliza bei ya kujenga wanaogopa wanaishia kununua magari watu wengi awam hii wameadhirika unakuta mtu kazi hana ana gari kuuza gari bei zenyewe ndohivo huyu mkuu amekumbusha kitu mhim maisha jaman yanabadirikaKwa kweli kwa usawa huu wa huyu jamaa kama una kibanda cha kujibanza ni jambo la kumshukulu mungu,vijana tujenge nyumba,tupunguze gharama zisizo maana.