Usimvalishe mwanao wala usishike ile kofia nyekundu ya Krismasi, Babu yule amaeingizwa kimakosa kwenye sherehe za Krismasi

Usimvalishe mwanao wala usishike ile kofia nyekundu ya Krismasi, Babu yule amaeingizwa kimakosa kwenye sherehe za Krismasi

mo2.jpg
 
Nilipoona id islamic sikusoma content nika scroll mpaka kweny reply ni comment. Pumbavu, acheni watu washerehekee krismasi the way they like it regardles hawavunji sheria za nchi. Kama nyie hamsherehekei itakuwa mna sikukuu yenu ambayo wengine nao hawasherehekei upuuzi huo. Mkiona sikikuu ya krismasi imekaribia hamuachi kuichimbachimba kwa kuikosoa kana kwamba ni kosa la jinai kusherehekea. Shame on you
 
Nchi hii/dunia hii ina sikukuu nyingi sana kiasi kwamba zingine hazipo kwenye orodha za sikuku za kitaifa/kidunia na watu huzisherehekea wajuavyo si kosa. Hakuna mtu anayelazimishwa kusherehekea sikukuu yoyote aijuae na asiyoijua. Babu krismasi/santa claus yupo tangu karne nyingi, si wakristo wote wana utamaduni wa babu krismas hususani afrika. Huyo santa claus ni maarufu huko amerika, ulaya na asia, huku afrika wengine hawana utamaduni huo na hawajui kitu kinachoitwa babu krismasi/santa claus zaidi ya kuona kwenye matangazo ya biashara kwenye televisheni. All in all inaweza kutumika kama alama ya msimu wa krismasi tu na si ibada
 
Back
Top Bottom