Usimwamini Mwanamke wako hata kama ameshika dini. Maumivu niliyopata leo sitayasahau kamwe

Ukiona mahusiano yako yana maelezo mengi sana, jua umekwama.

Haya mambo hayanaga maelezo mengi hivyo upande wa mwanaume.

Kumbuka we ndo mpanga njia, na ndio mtengeneza himaya.
 
Apostle kuna muujiza uku, nn kimetokea,? Pole sana mkuu
 
Nimesoma heading tuu nikaanza kucheka,kwani mtoa mada nini kumemkuta? 😀😀😀😀
 
Mpaka upewe kadi ya mwaliko anaolewa na mwingine. Akili itakaa sawa.
 
Kisa kirefu mno, huwa nachoka kuzisoma, utanisamehe nkoi

Bhujiku ng'waka
 
Hivi wanaume wa siku hizi mbona mnalilia sana na mapenzi asee..oyaaa mkuu achana naye bhna..MI KUNA KADEMU TULIKUWA TUNAPENDANA SANA YAANI TENA SANA KULIKO MAELEZO ,KUNA SIKU GHAFLA KAKASEMA TUACHANE SIKUJIBU NIKAFUTA NAMBA NA WALA SIKUKARIRI NAMBA YAKE..HADI LEO SIJAWAHI ONGEA NAKO NA NNA DEMU MWINGINE MAISHA YANASONGA VIZUURI NA MBUSUSU NACHAKATA KAMA KAWAIDA.
 
Umewezaje mzeya...nipe tips maana na mie kuna demu nataka nimsahau kabisa akilini mwangu
 
Umewezaje mzeya...nipe tips maana na mie kuna demu nataka nimsahau kabisa akilini mwangu
Mfikilie kwa mabaya yake tu, we tumia muda mwingi kumfikiria alivyokuumiza then jipe hopes utapata mwingine.
Iila ukitumia muda mwingi kumfikiria kwa zile moments nzuri nzuri mlizopitia aisee utateseka sana mpaka kuja kumsahau.
 
Tatizo mbususu yake tamuuu mnooooo
 
Wee sasa mwanamke anafinyia kwa ndani alafu anakwambia kabisa bby cum in my mouth unadhani kumtoa akilini ni rahisi mzee
Kweli hapo inahitajika nguvu ya maombi, inabidi ufunge na kusali hata week nzima
 
Mzee kwa hii update inaonesha kuna tatizo kubwa upande wako
 
Mademu wengi walokole wanakuwaga na matatizo ya kiafya,so kabla hujaamua kuendelea na mambo mengine nenda kapime afya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…