Usimwamini Mwanamke wako hata kama ameshika dini. Maumivu niliyopata leo sitayasahau kamwe

Brother usiwe mbishi tena hao washika dini huwa wananyanduliwa na waimba kwaya au vinanda wenzao..sawa na mademu wa madrasa maostadh hujipigia kilaini sana nina mifano mingi kuhusu hilo.

Mwanamke akiamua kukuigizia maisha bro utajut sana hasa hawa wenye dini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mademu wengi walokole wanakuwaga na matatizo ya kiafya,so kabla hujaamua kuendelea na mambo mengine nenda kapime afya kwanza
hili nililifanya mapema sana kabla hata hatujaanza mahusiano ila naomba unisaidie kitu mkuu mwenzangu huwa analalamika pia huwa anaumia wakat wa tendo
 
Samahani mkuu ila unaonekana upo very unstable emotionally.
Endelea na maisha yako huyo mtu atakutesa baadae ukija muoa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo yasikie Kwa jirani Kwa hiyo binti mlokole kakufanyia hivi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
We toka mwanzo ulishaona viashiria vyote kuwa hupendwi ila ukakifanya kukaza, kosa lingine ni kukaushia wasichana wengine utadhani ulifunga pingu za maisha na huyo bint vile. Wakt bado mlikuwa mnakokotana tu. Unavumiliaje mahusiano ya bila sex! eti sex kwa mwez mara moja imekuwa dawa hyo kuwa inaenda kwa muda??!! Kupenda sana upofu na pole sana kwa yaliyokukuta umejifunza mengi
 
Pole sana songa mungu yupo .shukulu sana mungu ujatengeneza familia utapata wako .msaada jinsi ya kuhacker simu
 
Mimi na sema ni Bora mwanamke atumie pesa zako, kuliko atumie nguvu zako,pesa zako na akili yako alafu akakuacha .. Ina uma sana na maomivu yake sio ya moyoni ni yandani ya nafsi kabisa...Jifunze ku msahau alafu usonge mbele ndugu yangu..

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nkuu tafuta ela.Mbususu zipo tu ukiikosa yake utaipata nyingine.Jipe muda tu.

One the Incredible kuna mstari anasema " Unapovunjwa moyo unaujenga tena.. usijenge chuki iache iondoke na iende vyema..
 
Story za hivi kwa sasa huwa nacheka sana ukijua thamani ya kuzaliwa ya jinsi ya Me mapenzi hayatakusumbua tena.

Dogo huyo demu ukitumia nguvu ukamuoa utaleta nyuzi nyingi sana
 
Story za hivi kwa sasa huwa nacheka sana ukijua thamani ya kuzaliwa ya jinsi ya Me mapenzi hayatakusumbua tena.

Dogo huyo demu ukitumia nguvu ukamuoa utaleta nyuzi nyingi sana
inaelekea atanitibua kabisa mkuu ama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…