Usimwamini Mwanamke wako hata kama ameshika dini. Maumivu niliyopata leo sitayasahau kamwe

Sasa we miaka yote hiyo ya mahusiano na binti mlokole wa watu ya nini unataka kumkosesha mbingu mwenzio??

kingine kakuchoka maana mmeshaachana mara tano na yeye ndio anakubembeleza kafikia hatua kachoka kaamua kufanya yake maana unaonesha ni mgumu kubadilika wewe.
 
Kapike UKIMWI uanze dawa kabisa
 
Heee! Na wewe umepitia magumu. Mwanamke unamhudumia na hujawahi faidi chochote mpaka mnaachana? Ina maana kule gesti alikuwa haendi kukupa mapenzi, alikuwa anaenda kukulipa kwa kitu flani ulichompa. Ndio maana alikuwa na kinyaa na wewe. Pole sana.
 
Pole Sana Omera, wewe bado haujakomaa kwenye mapenzi. Kubali umeachwa, move on.
 
Unatikisa kiberiti!?? Hizi tabia wanazo sana wadada.

Halafu mkuu kwanini hutimizi hitaji la mwenzio, yeye anataka ndoa tuu.

Mwanamke anaetaka ndoa sijui umpe nini akithaminishe na ndoa, we ukiahidi kumuoa mwezi ujao hata usimpa hata mia yeye kwake ni sawa as long as ahadi yako inaishi.

Hao kwao ndo ndo kitu cha thamani kuliko hivyo vizawafi mnavyopeana, hapo kasubiri mpaka kachoka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…