Usimwamini rafiki wala kiongozi wako

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
4,151
Reaction score
4,277
Miongoni mwa mambo hatari katika Mahusiano ni kuaminiana na kuambiana siri zenu. Naomba nitumie andiko la Biblia katika Kitabu cha Mika siyo kwa lengo la kufundisha imani fulani au dini ila Mahusiano.

Msimwamini rafiki, msimwekee kiongozi tumaini; ilinde milango ya midomo ya kinywa chako ili mkeo alalaye kifuani mwako asijue habari ( Mika 7:5).

Usimwamini yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…