Usindikaji wa gesi ya kupikia Kinyerezi

Usindikaji wa gesi ya kupikia Kinyerezi

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Naomba kuuliza, hivi hii mitungi ya gesi ya kupikia gesi yake huwa inatoka Mtwara au huwa tuna-import kutoka nje? Whatever the case, lile bomba kubwa la kutoka Mtwara hadi Kinyerezi, gesi yake imeshaanza kusindikwa pale Kinyerezi kwa ajili ya matumizi ya kupikia ya wana Dar-es-salaam? If not waanze kujenga hicho kiwanda immediately na baada ya kuanza uzalishaji tunataka kuona gesi ya kupikia ikishuka by more the 70%..!

Mwenye taarifa zaidi
 
Chini ya CCM sahau vitu hivyo! Mtungi wa gesi yetu ya mtwara hautakuwa chini ya shs 60,000!
 
Sioni kama kunaulazima wakupika kwa kumia gesi watumie gesi kutudhalishia umeme wa uhakika wenye ghalama nafuu tutatumia majiko ya umeme.. Tupunguze usumbufu wamamitungi
Kuna umuhimu tena mkubwa sana. Jiji la Dar peke yake linatumia 60% ya mkaa unaozalishwa nchini. Tupikie gesi, tena sio kwa mitungi ila ya kuunganishwa kwa mabomba kama tunavyosambaziwa huduma ya maji na DAWASCo, ili tulinde misitu yetu!
Na pia nani kasema hawawezi kuzalisha umeme na kutusambazia gesi ya kupika kwa mara moja?
 
Gesi ya Mtwara wananchi kuituma kama nisati ya kupikia ni ndoto maana hata TANESCO wanaitumia kuzalishia umeme kwa sababu hawana namna, maana ni aghali sana. Kisa mradi umejengwa kwa gharama kubwa sana na TPDC inauziwa gesi na wawekezaji kwa bei kubwa vile vile Kumbuka TPDC haimiliki visima vya gesi bali imemilikisha leseni za uchimbaji kwa wawekezaji
NCHI HII N EASY GO!!!!!!!
 
Wananchi tulitegemea hii gesi kwa wingi wake tz itageuka NCHI YA NEEMA lakini Wanaogombea serikali ijayo hawatutii moyo kabisa, yaani hawana maono ya Taifa la tz kama URUSI(yenye gesi) miaka kadha ijayo😡
 
Gesi ya Mtwara wananchi kuituma kama nisati ya kupikia ni ndoto maana hata TANESCO wanaitumia kuzalishia umeme kwa sababu hawana namna, maana ni aghali sana. Kisa mradi umejengwa kwa gharama kubwa sana na TPDC inauziwa gesi na wawekezaji kwa bei kubwa vile vile Kumbuka TPDC haimiliki visima vya gesi bali imemilikisha leseni za uchimbaji kwa wawekezaji
NCHI HII N EASY GO!!!!!!!
Mmeshaanza visingizio.., kwani bei si inapangwa na EWURA?! sasa hiyo bei ya gesi nayo si ipo chini ya EWURA?! sasa inawezekana vipi bei ikawa kubwa in comparison na mafuta au gesi ya kutoka nje?! Acheni ubinafsi wa kishenzi mshushe hizo bei za nishati ya gesi yetu ebo..!
 
Tunaingoja kwa hamu
 
Attachments

  • 1442579276109.jpg
    1442579276109.jpg
    81.4 KB · Views: 471
Mmeshaanza visingizio.., kwani bei si inapangwa na EWURA?! sasa hiyo bei ya gesi nayo si ipo chini ya EWURA?! sasa inawezekana vipi bei ikawa kubwa in comparison na mafuta au gesi ya kutoka nje?! Acheni ubinafsi wa kishenzi mshushe hizo bei za nishati ya gesi yetu ebo..!
Nasikia viwanda vya kuliquidfy gas ni aghali sana.
 
Sioni kama kunaulazima wakupika kwa kumia gesi watumie gesi kutudhalishia umeme wa uhakika wenye ghalama nafuu tutatumia majiko ya umeme.. Tupunguze usumbufu wamamitungi

Nakubaliana na wewe kabisa
 
Gesi ya Mtwara wananchi kuituma kama nisati ya kupikia ni ndoto maana hata TANESCO wanaitumia kuzalishia umeme kwa sababu hawana namna, maana ni aghali sana. Kisa mradi umejengwa kwa gharama kubwa sana na TPDC inauziwa gesi na wawekezaji kwa bei kubwa vile vile Kumbuka TPDC haimiliki visima vya gesi bali imemilikisha leseni za uchimbaji kwa wawekezaji
NCHI HII N EASY GO!!!!!!!

Hii ndio sababu watakayo kuja nayo....umeme utaendelea kuwa juu tu hapa Tanzania
 
Sioni kama kunaulazima wakupika kwa kumia gesi watumie gesi kutudhalishia umeme wa uhakika wenye ghalama nafuu tutatumia majiko ya umeme.. Tupunguze usumbufu wamamitungi

Hiyo hoja yako itaingizwa kwenye ahadi za Magufuli soon....utekelezaji ZIRO
 
Hivi kweli na mradi wa makaa yamawe ulishia wapi ?????? maana ulikuja kwa kasi kama hii gesi.. Sijaona chochote nlijua kukata miti bye bye sasa ni makaa yamawe, na mgao kwisha maana kikwete alisema watafua umeme
 
Kuna umuhimu tena mkubwa sana. Jiji la Dar peke yake linatumia 60% ya mkaa unaozalishwa nchini. Tupikie gesi, tena sio kwa mitungi ila ya kuunganishwa kwa mabomba kama tunavyosambaziwa huduma ya maji na DAWASCo, ili tulinde misitu yetu!
Na pia nani kasema hawawezi kuzalisha umeme na kutusambazia gesi ya kupika kwa mara moja?

Kwa Tanzania hii tunataka maji kwanza.. Hizo pesa za kusambaza mabomba ya gesi wasambaze maji. Ona kipindupindu sababu kuu ni kutokuwa na maji safi na salama.
 
Back
Top Bottom