FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sioni kama kunaulazima wakupika kwa kumia gesi watumie gesi kutudhalishia umeme wa uhakika wenye ghalama nafuu tutatumia majiko ya umeme.. Tupunguze usumbufu wamamitungi
Kuna umuhimu tena mkubwa sana. Jiji la Dar peke yake linatumia 60% ya mkaa unaozalishwa nchini. Tupikie gesi, tena sio kwa mitungi ila ya kuunganishwa kwa mabomba kama tunavyosambaziwa huduma ya maji na DAWASCo, ili tulinde misitu yetu!Sioni kama kunaulazima wakupika kwa kumia gesi watumie gesi kutudhalishia umeme wa uhakika wenye ghalama nafuu tutatumia majiko ya umeme.. Tupunguze usumbufu wamamitungi
Mmeshaanza visingizio.., kwani bei si inapangwa na EWURA?! sasa hiyo bei ya gesi nayo si ipo chini ya EWURA?! sasa inawezekana vipi bei ikawa kubwa in comparison na mafuta au gesi ya kutoka nje?! Acheni ubinafsi wa kishenzi mshushe hizo bei za nishati ya gesi yetu ebo..!Gesi ya Mtwara wananchi kuituma kama nisati ya kupikia ni ndoto maana hata TANESCO wanaitumia kuzalishia umeme kwa sababu hawana namna, maana ni aghali sana. Kisa mradi umejengwa kwa gharama kubwa sana na TPDC inauziwa gesi na wawekezaji kwa bei kubwa vile vile Kumbuka TPDC haimiliki visima vya gesi bali imemilikisha leseni za uchimbaji kwa wawekezaji
NCHI HII N EASY GO!!!!!!!
Hhahahahaha...! daaaah..., cheki vijamaa vilivyoshika sahani mkononi.., yaan vina usongo hivyoo..!Tunaingoja kwa hamu
Nasikia viwanda vya kuliquidfy gas ni aghali sana.Mmeshaanza visingizio.., kwani bei si inapangwa na EWURA?! sasa hiyo bei ya gesi nayo si ipo chini ya EWURA?! sasa inawezekana vipi bei ikawa kubwa in comparison na mafuta au gesi ya kutoka nje?! Acheni ubinafsi wa kishenzi mshushe hizo bei za nishati ya gesi yetu ebo..!
Sioni kama kunaulazima wakupika kwa kumia gesi watumie gesi kutudhalishia umeme wa uhakika wenye ghalama nafuu tutatumia majiko ya umeme.. Tupunguze usumbufu wamamitungi
Gesi ya Mtwara wananchi kuituma kama nisati ya kupikia ni ndoto maana hata TANESCO wanaitumia kuzalishia umeme kwa sababu hawana namna, maana ni aghali sana. Kisa mradi umejengwa kwa gharama kubwa sana na TPDC inauziwa gesi na wawekezaji kwa bei kubwa vile vile Kumbuka TPDC haimiliki visima vya gesi bali imemilikisha leseni za uchimbaji kwa wawekezaji
NCHI HII N EASY GO!!!!!!!
Sioni kama kunaulazima wakupika kwa kumia gesi watumie gesi kutudhalishia umeme wa uhakika wenye ghalama nafuu tutatumia majiko ya umeme.. Tupunguze usumbufu wamamitungi
Hiyo hoja yako itaingizwa kwenye ahadi za Magufuli soon....utekelezaji ZIRO
Kuna umuhimu tena mkubwa sana. Jiji la Dar peke yake linatumia 60% ya mkaa unaozalishwa nchini. Tupikie gesi, tena sio kwa mitungi ila ya kuunganishwa kwa mabomba kama tunavyosambaziwa huduma ya maji na DAWASCo, ili tulinde misitu yetu!
Na pia nani kasema hawawezi kuzalisha umeme na kutusambazia gesi ya kupika kwa mara moja?