msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Hiyo misitu yenyewe ndio vyanzo vya maji. Tanzania tunapoteza misitu kwa kasi ya kutisha sana. Huwezi kuliona hilo kwa sasa ila lipo!Kwa tz hii tunataka maji kwanza.. Hizo pesa zakusambaza mabomba ya gesi wasambaze maji. Ona kipindu pindu sababu kuu nikutokua na maji safi na salama.
Hiyo misitu yenyewe ndio vianzo vya maji. Tanzania tunapoteza misitu kwa kasi ya kutisha sana. Huwezi kuliona hilo kwa sasa ila lipo!
Serikali itasave hela nyingi sana watu wakianza kupikia gesi badala ya mkaa, fedha ambazo zinaweza kutumiwa kusambaza maji!
​Hivi gas ghali inaweza kutumika kuzalisha umeme cheap? Wachumi wetu mko wapi mtusaidie?
Naomba kuuliza, hivi hii mitungi ya gesi ya kupikia gesi yake huwa inatoka Mtwara au huwa tuna-import kutoka nje?
whatever the case, lile bomba kubwa la kutoka Mtwara hadi Kinyerezi, gesi yake imeshaanza kusindikwa pale Kinyerezi kwa ajili ya matumizi ya kupikia ya wana Dar-es-salaam? If not waanze kujenga hicho kiwanda immediately na baada ya kuanza uzalishaji tunataka kuona gesi ya kupikia ikishuka by more the 70%..!
Mwenye taarifa zaidi
Mambo ambalo watanzania wengi hatulifahamu Ni kuwa Ni ngumu kwa mwananchi wa kawaida kunufaika kwa namna yoyote na gas ya Mtwara maama matumizi yake Ni ngumu kwa mwananchi wa kawaida kuitumia.
Gas inayosindikwa kwenye mitungi Si hii tulionayo sasa. Gas inayosindikwa kwenye mitungi Ni petroleum gas ambayo Ni bi-product ya kuchuja crude oil kupata kerosine, petrol na diesel.
Gas tulionayo hapa kwetu Ni natural gas. Ni gas ambayo Ni ngumu kuwa compressed na kuhifandiwa kwenye mitungi. Na emdapo ukafanikiwa kuicompress, gharama ya kuisindika itakuwa juu mno Mara dufu ya bei ya kununua petroleum gas kutoka Iran.
Tutaitumije hii gas?
Kwa vile hii gas Ni ngumu kuisindika, njia pekee ya mtanzania kuitumia Ni kwa kutumia mabomba ya gas au kupitia Umeme.
Njia ya mabomba ya gas Ni njema zaidi maama gas itamfikia mwananchi moja kwa moja. ILA miundombinu ya mabomba ya gas Ni ngumu Sana kuiweka katika makazi yetu ambayo hayajapangiliwa vyema
Naomba kuuliza, hivi hii mitungi ya gesi ya kupikia gesi yake huwa inatoka Mtwara au huwa tuna-import kutoka nje?
whatever the case, lile bomba kubwa la kutoka Mtwara hadi Kinyerezi, gesi yake imeshaanza kusindikwa pale Kinyerezi kwa ajili ya matumizi ya kupikia ya wana Dar-es-salaam? If not waanze kujenga hicho kiwanda immediately na baada ya kuanza uzalishaji tunataka kuona gesi ya kupikia ikishuka by more the 70%..!
Mwenye taarifa zaidi
Kuna umuhimu tena mkubwa sana. Jiji la Dar peke yake linatumia 60% ya mkaa unaozalishwa nchini. Tupikie gesi, tena sio kwa mitungi ila ya kuunganishwa kwa mabomba kama tunavyosambaziwa huduma ya maji na DAWASCo, ili tulinde misitu yetu!
Na pia nani kasema hawawezi kuzalisha umeme na kutusambazia gesi ya kupika kwa mara moja?
Sasa hivi gas inatoka Iran,mtungi wa kg 15 unauzwa sh elfu 60.
Ni Renew Au Ndo Wanunua Mwanzo? Na Ni Gas Ipi Hyo? Mihan, Oryx, Lake?Nk
Naomba kuuliza, hivi hii mitungi ya gesi ya kupikia gesi yake huwa inatoka Mtwara au huwa tuna-import kutoka nje? Whatever the case, lile bomba kubwa la kutoka Mtwara hadi Kinyerezi, gesi yake imeshaanza kusindikwa pale Kinyerezi kwa ajili ya matumizi ya kupikia ya wana Dar-es-salaam? If not waanze kujenga hicho kiwanda immediately na baada ya kuanza uzalishaji tunataka kuona gesi ya kupikia ikishuka by more the 70%..!
Mwenye taarifa zaidi